Hi

Hi

Hahahahahahahahahaha

hivi kumbe huwa ni lililililili mie nizani lulululu au leleleleleeee huwa siwasikiagi vizuri mkianzaga hizo mishe hasa mnapo pokea harusi.
 
Hii stori ya "Adam akamjua mkewe nae akapata mimba...." haijanitokea kwa yeyote humu zaidi ya wife! Wala usishangae maana huyo ndio hawezi kabisa kunijua! Mpango wetu vipi jamani?

Haya wee....Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake,kwa mikono yake....ye mwenyeweeee......
 
Haya wee....Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake,kwa mikono yake....ye mwenyeweeee......

Ni hivi mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake mwenyewe bali aliye mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Ni hivi mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake mwenyewe bali aliye mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Biblia inasema mwanamke mjinga.....ila jamaa kwenye bongo fleva akaamua kuongezea na wanaume.... I am trying hard kujenga hii nyumba yangu na Filipo ila kuna muda naona anataka kuivunja kwa uzembe....
 
Last edited by a moderator:

Mi nahisi weekend hii haita fika biashara itakuwa imeisha
 
Last edited by a moderator:
Baba V kakosa nini tena? Mungi huko BAN guest house si ulisema ni kunoma?

Hahahaaaaaaaaaaaaaa kumbe na Baba V naye kaingia guest house............................ huyu lazima aliingia kwenye jukwaa stress akaingia kwenye thread ya masalia. Ile thread imewapeleka wengi selo
 
Last edited by a moderator:
Sasa unashindwa kumfungia power track we namna gani braza? mi Lily Flower nimemfungia hiyo kitu kwahiyo namwangalia tu kwenye skrin ya simu yangu tu in every step! Hata beki tatu wetu sweetlady tumemfungia power track

Hazibandi sema tumefungiana, umesahau changu ni chako na chako ni changu au wewe ni wale chako ni chako na changu ni chako pia.
 
Back
Top Bottom