Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,553
Biblia inasema mwanamke mjinga.....ila jamaa kwenye bongo fleva akaamua kuongezea na wanaume.... I am trying hard kujenga hii nyumba yangu na Filipo ila kuna muda naona anataka kuivunja kwa uzembe....
Napambana na majaribu na mapepo na hakika Bwana ananionekania. Hakika nitashinda maana vita yetu si ya miili bali ni roho!
I love you sana my love!
Last edited by a moderator: