Hi

Filipo njoo kwenye kona wanapitia hapa

Nipo hapa ofisini, wife anazima kompyuta tuondoke nae! Swala la ulinzi wa Mke wangu huwa nalifanya mwenyewe!!!
 
Last edited by a moderator:
ana yake huyu Filipo hujamjuaga tu kumbe?!?!?

Hii stori ya "Adam akamjua mkewe nae akapata mimba...." haijanitokea kwa yeyote humu zaidi ya wife! Wala usishangae maana huyo ndio hawezi kabisa kunijua! Mpango wetu vipi jamani?
 
Last edited by a moderator:
Nipo hapa ofisini, wife anazima kompyuta tuondoke nae! Swala la ulinzi wa Mke wangu huwa nalifanya mwenyewe!!!

Hahahaaaaaaaaaa kumbe bado unamlindaga................. mie mke wangu Lily Flower anajilinda mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hii stori ya "Adam akamjua mkewe nae akapata mimba...." haijanitokea kwa yeyote humu zaidi ya wife! Wala usishangae maana huyo ndio hawezi kabisa kunijua! Mpango wetu vipi jamani?

mpango upo pale pale!!! una lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…