Mr.kibulala
Member
- Nov 8, 2011
- 58
- 20
CCM bwana jana kulikuwa kufanyike uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha Bulfani wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera,cha kushangaza saa chache kabla ya kufanyika uchaguzi huo,barua ya kusimamisha uchaguzi huo ikatolewa na Mkurugenzi wa halmashauri saa2 ucku,kisa ni baada ya kuona CCM kinapoteza hicho kiti na hii ni mara ya pili wanahairisha uchaguzi.NA sasa viongozi wa Chadema wameandamana mpk ofisi ya mkurugenzi.