KUtakuwa na kitu...........mbona umefurahi hivo,
Ila nashukuru kama uko poa.
Shem.......... Nisalimie measkron
measkron hahahhahhhaSijambo my dear Madame B, mzima wewe? hajambo Ben Saanane? Nimepita kule jukwaa linaloongoza kwa ban anapewa za uso za pua, hebu kamsaidie mumeo.
Usijali shem wangu wa ukweeeh, salamu zimefika na anashukuru
Karibu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nam-miss sana Ben wanguSijambo my dear Madame B, mzima wewe? hajambo Ben Saanane? Nimepita kule jukwaa linaloongoza kwa ban anapewa za uso za pua, hebu kamsaidie mumeo.
Mambo vipi? I miss everyoneNam-miss sana Ben wangu
Yaani acha kabisaKaburi Limefukuliwa
Zombie LinafufukaYaani acha kabisa