Duh hiko kingeretha thatha brookwa kifupi.
a man of good social standing, as a noble or an armigerous commoner, a man with an independent income who does not work for a living.
Badilisha username huwezi kuwa LLB halafu usijue kingereza.Duh hiko kingeretha thatha broo
Mmmm ndugu kwani majina ndo yanayotambulisha usomi wa mtu?Badilisha username huwezi kuwa LLB halafu usijue kingereza.
Sijui atakuelewa??!!kwa kifupi.
a man of good social standing, as a noble or an armigerous commoner, a man with an independent income who does not work for a living.
Nieleweshe nduguSijui atakuelewa??!!
kama ukiangalia ametaka kujua maana ya 'GENTLEMEN' kwahiyo najua anajua alichokiulizaSijui atakuelewa??!!
Mmm yan nnajua halaf niulize tena!!kama ukiangalia ametaka kujua maana ya 'GENTLEMEN' kwahiyo najua anajua alichokiuliza
nilivyokujibu kwa hiyo luga utaielewa sababu hata swali umeuliza kwa kutumia neno la hiyo lughaMmm yan nnajua halaf niulize tena!!
Tusihame mada ntafsirie tu mkuu maana hapa nlipo sina hata kamusi.nilivyokujibu kwa hiyo luga utaielewa sababu hata swali umeuliza kwa kutumia neno la hiyo lugha