Tafadhali katika kumbukumbu zako usinisahau kwa kuwa nimekuwa wa kwanza kukukaribisha. Ukisikia maumivu ya mgongo usisahau kuchart na mimi nikugaie vidonge ladhaa vya kutuliza maumivu.

Ndugu yangu Asprin, si ungemuelekeza dada wa watu kule kwenye viti vya wageni (mapokezi) yaani utambulisho ili achague sehemu ya kuingi baada ya kupumzika?