Hi ni Kwa Marafiki Wote

Hi ni Kwa Marafiki Wote

Saa ingine ili ufanikiwe yahitaji mtu ataekutia hasira, kukurudisha nyuma ili ufanye juu chini umuoneshe kuwa waweza
 
Kuna aliona nimemzidi kwa hili !! Duh imempa shida sanla mpaka amejikuta akinifumbia eti yeye kazidiwa kielimu hata kuvaa pia? Eti na hao waloenda shule mbona hata kuvaa hawajui. Ubinadamu mgumu

Duuh sio wote hawajui kuvaa bana anyways kama yeye mjuzi wa mavazi ndo uwezo wa fikra zake ulipofikia....sitomlaumu
 
Back
Top Bottom