HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,908
- 6,576
Wengi Wamekukuta Njiani Hawajui Ulikotoka na Wala Hawajui Njia Uliyopitia Hadi Ukafika Hapo.Lkn Wamejivika Umahiri Wa Kukuchambua na Wamegeuka Watabiri Wa Maisha Yako. Usitumie Muda Mwingi Kuwafikiria kwani Safari Ni Yako na ni Ndefu Sana. Achana Na Wapita Njia Elekeza Nguvu Zako Ktk Ndoto Zako na Safari Yako.Mlinzi na kiongozi wako ni Mungu,Wengine watabaki Kua Mashaidi tu.
Hi ni kwa wote walio kutana vikwazo vya marafiki, majirani na watu wengine walio wazunguka. Unaweza kua mkarimu kwa mwenzako ukamtendea mema mengi lakini malipo yake yakawa usaliti- Kwa upande wangu marafiki ndo sababu.