Hi JF members, am back am miss america

Miss America

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
35
Reaction score
7
I was too busy that is why i was not arround.....i do miss you guys....do you misss me????/mwaaaah nakupenda
 
toa namba yako ya cm tukupigie...
 
I was too busy that is why i was not arround.....i do miss you guys....do you misss me????/mwaaaah nakupenda

Unapenda promo wewe, hivi 2015 unataka ugombee jimbo gani naona upo kijamii zaidi
 
mmh..huyu mbongo mwenzetu tu...anajidai kiswahili hakipandi kumbe wapi!

heheheeeee, kumbe ndo maana ukavutikaaa eeh? Lugha ya malkia ni rahisi sana kwa kulainishia, maneno yoote ambayo hayatamkiki kwa kibongo huwekwa hapo. Ninth Worlds' wonder
 
Hebu toa tafsiri hiyo lugha ya malkia wengine haipandi kabisa tafadhali umesemaje vile????
 
ha ha ha JF bwana mweee.. eti du yu miss me? nikumiss wewe kwa kipi??
 
heheheeeee, kumbe ndo maana ukavutikaaa eeh? Lugha ya malkia ni rahisi sana kwa kulainishia, maneno yoote ambayo hayatamkiki kwa kibongo huwekwa hapo. Ninth Worlds' wonder

Hebu toa tafsiri hiyo lugha ya malkia wengine haipandi kabisa tafadhali umesemaje vile????

hebu tupe basi maujanja ya kuitumia hiyo lugha ya malkia kulainishia...
 
Hebu toa tafsiri hiyo lugha ya malkia wengine haipandi kabisa tafadhali umesemaje vile????

Halafu nlikuona pale kwenye mstari wa kumsubiria mtoto wa Malkia, hee! kumbe lugha yenyewe haipandi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…