Kaka uwe makini kuna ban za ajabu ajabu hapa,kuna watu wanatukana kabisa sijui kama wana pigwa ban,lkn mshkaji wangu kapigwa ban kwa kosa dogo kabisa zaidi ya mwezi sasa.anaitwa URIRIA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.