Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
- Thread starter
- #61
Nimeshawashtukia ndio maana Qeen Kan aliniambia nisikubali kabisa.
cc: Asprin,Kabanga.
cc: Asprin,Kabanga.
Nimeshawashtukia ndio maana Qeen Kan aliniambia nisikubali kabisa.
cc: Asprin,Kabanga.
Sidanganyiki lol
cc: Kabanga
Unaenda kinyume na sheria za chama e?
Nilijua tu hamnipati huko kabisa. Sitaki kukaguliwa ng'o.
cc: kabanga,nitonye.
Nilijua tu hamnipati huko kabisa. Sitaki kukaguliwa ng'o.
cc: kabanga,nitonye.
Njoo nikuambie kitu
Nitonye wewe Nitonye mmh! Haya niambie hiko kitu nasikiliza.
Nimekupenda ghafula
Bantu lady karibu sana JF na hususan JF chit chat.