Mi sijambo shemMambo ya mkopo wa CITIBANK hayo shem. Mzima ww?
hahahaaaa!!watajiju
babu aliwapanga duuuh!!
hahahaaa umeonaeee, sasahivi wa ukweli wanaibuka, The secretary akijitahidi kupambana nae huku Mamndenyi akifuata nyuma, Madame B nae akiishia kuchungulia dirishani wakati Zahra White bado taarifa hazijamfikia, Bishanga nae amekosa cha kuongea amebaki anatahamaki, mke kavamia mtandao......
sijui ana wahandle vipi hao wake wote maana kila siku anatongoza huyu mzee na hawamkatalii ila mimi tu ndie niliye nusurika kumkataa.
mmmmmmmmhhhhhh?????
Arushaone anajua hilo?