Hi! Anybody ready for chating!

Ngelimunyama

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
56
Reaction score
5
Dear friend, i'm looking for somebody online for sharing idea, plz text me for chating
 
I'm feel so happy when i see my friends respond to my status! Thanks very much for acompany me! Bila kuwasahau ( bi kongosho na Bwana Sungurama!) mpo?
 
Naona JF inakuwa fb soooooooooooonnnnnnnnnn
 
Dear friend, i'm looking for somebody online for sharing idea, plz text me for chating

duh mkuu ulipojiunga ulifikiri hapa ni sehem ya watu kuchat au kubadilishana mawazo na kuleta fikra pevu za kulikomboa taifa
Hebu angalia tena dhima yako ya kujiunga JF usije ukawa unautumia muda wako na net bure bila kuongeza lolote
Hao wanaokujibu sana sana wanakuchora maana wanajua wamekutana na kichekesho
halafu hebu angalia ulikoweka hii thread yako bora ingeenda hata kule chit chat au love connect ila humu kwenye jukwaa la mapenzi na mapenzo mhhh sijui may be Kongosho na SnowBall naona wanachungulia waseme
 
Last edited by a moderator:
Tunaanza kuchati, kukurukakara zako bwana ee acha zitakuponza bwana weee achaweee. Diamond kaangusha pini jipya linaitwa Nataka Kulewa. Rais anaishi ikulu. Bunge hufanyika Dodoma. M-Pesa ni ya Vodacom. Huko ndiko tuendako humu JF.

Achane ulevi, humu tunataka hoja tuuu
 

i'm very sorry, i got so angry, the man fully discourage me thus why i insulted him! Plz don't misundestand me! Have a nice drmz
 
opppss, really?

 

Mr Rocky ni wewe au kuna mtu kaiba pasiwedi yako?? mbona unamfokea mgeni...? si umkaribishe kwa upendo kule kwenye jukwaa letu pendwa la vit chat...huko atachati mpka akimbie mwenyewe... jf ni zaidi ya siasa na kujenga nchi...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…