Hi, am a new member!

:painkiller:Sikuja kubadili mitazamo wala kubomoa mchakato nimekuja japo kuchangia hekima zangu na kuficha kama sio kutokomeza ujinga wangu
 
Hodini wana JF aka great thinkers. I hope wote tu wazima and twasikilizia how will our new gvmnt will work for us. natamani kupata list ya ministers kwa ukamilifu wake. is there anyone anayo iliyo kamili?
 
Dear ALL, habarini wana JF, ninayofuraha kujiunga na huu mtandao wenye uhuru kamili. UHURU kwangu ni kuwa na uchaguzi usiochakachuliwa.
 
icon5.png
Ni mara yangu ya kwanza kufaulu kujiunga na JF japo nimekuwa nikifiatilia mijadala ya wadau. Hope nitaennjoy this pool of critical and funny thoughts/ideas.
Big up jf!!!
 
Nafurahi kujiunga na hii jamii, natumaini kujifunza mengi. Naomba ushirikiano mzuri pale nitakapokuwa kwa bahati mbaya nimekosea. Asanteni.
 
Kila mtu anapaswa kutumia vizuri jukwaa hili kwani linawasaidia watanzania kupata habari haraka, liko huru sio kama Michuzi blog.
 
Hallo wanajamii forum mm ni new member i just registered, so accept me as to put my things in this jamvini. Na watakia siku kuu jema ya uhuru wa Tz 49 years simchezo.:rapture:
 
Jamani naomba ushauri wenu kuna jamaa ana kawaida ya kupiga chabo mke wangu pindi anapeoga bafuni kama unavyo jua mambo ya public bafu na toilet kwenye nyumba za kupanga.
 
I thnk that's good. I like JF coz it seems to be the food for our brain. It is a part of life instructor for anyone who get use of.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom