Ukitumia akili utaelewa US hajahusikaWapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.
Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.
Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Ukitumia akili utaelewaWapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.
Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.
Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Unfair playgroundSasa kobaz unalia nn?
C na nyie Mtafute tegemezi ili mumuondoe Israel kwenye uso wa dunia π
Muache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?Unfair playground
unapelekwa kucheza na watoto wenzako huku mdingi wako yuko hapo anawatolea mimacho watoto wengine wasikutwange makonzi.
hiko kiinchi hakina hii hela ya kutumia kwa siku hata nchi za ulaya haziwezi, kinatenegemea kumchuna buzi bwana wake US
Iran pamoja na vikwazo kamkalia kooni
View attachment 3547252
View attachment 3547253
View attachment 3547254
Natumia akili yangu na nina uhakika nimesoma kielimu kukuzidi wewe na ukoo wenu woteMuache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?
Muache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?Unfair playground
unapelekwa kucheza na watoto wenzako huku mdingi wako yuko hapo anawatolea mimacho watoto wengine wasikutwange makonzi.
hiko kiinchi hakina hii hela ya kutumia kwa siku hata nchi za ulaya haziwezi, kinatenegemea kumchuna buzi bwana wake US
Iran pamoja na vikwazo kamkalia kooni
View attachment 3547252
View attachment 3547253
View attachment 3547254
kama unatumia akili yako kweli hizo takwimu umezipata wapi?Natumia akili yangu na nina uhakika nimesoma kielimu kukuzidi wewe na ukoo wenu wote
Wapo.Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu liaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Kilaza kama wewe hata hujui Wall Street Journal ni niniMuache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?
kama unatumia akili yako kweli hizo takwimu umezipata wapi?
Kama kawaida wanakufa hao wanaingia wengine mpaa kitaeleweka kama Israel atabaki hapo Middle East na ndoto zake. Tena kuna watu wanaomba US ajichangan'ye kushambulia Iran ili Israel isafishwe kabisa.Endelea kusubiri mizoga ya magaidi wa Hezbollah tu
Itachukua miaka mingi kurudi kwenye uwezo waliokuwa nao kipindi cha nyuma. Na inawezekana wasifanikiwe kabisa hasa kwa sababu hakuna njia ya kupata misaada kutoka Iran, na Iran yenyewe inaweza kuwa kikaangoni muda wowote.Siku hizi wakipigwa hawavimbi kabisa
FaizaFoxy alituaminisha hao Hezbollah ni moto wa kuotea mbali π€£π€£
Sasa kama wao wameamua kutumia hizo zote wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako? Au wewe una hasara gani?Kilaza kama wewe hata hujui Wall Street Journal ni nini
Hakuna vita isiyo na gharama.Unfair playground
unapelekwa kucheza na watoto wenzako huku mdingi wako yuko hapo anawatolea mimacho watoto wengine wasikutwange makonzi.
hiko kiinchi hakina hii hela ya kutumia kwa siku hata nchi za ulaya haziwezi, kinatenegemea kumchuna buzi bwana wake US
Iran pamoja na vikwazo kamkalia kooni
View attachment 3547252
View attachment 3547253
View attachment 3547254
Sasa kama wana uwezo kwanini wasitumie?!Aliuliwa kwa kutumia ndege karibu 40 na kurusha 80 tons za silaha hapo ndio ujuwe Mwanaume wa vipi huyo.
Na hapo ndio ujuwe ujinga wa Israeli anatumia ndege 40 na 80 tons kwa mtu mmoja tu kweli silaha ya bure nasikini wamarekani wanalipa kodi zinaishia Israel π π
Nani kakuambia hawatatumia subirini mtaona mda utaongea, nakumbuka wajati ule akipigwa Israel huwa mnajificha haswa wewe eti mzee kigogo labda kigogo wakunyogi.Sasa kama wana uwezo kwanini wasitumie?!
Kwa hio Israel wao ni omba omba mpaa wanaomba USA apigane na Iran kama wao vidume siwakampiige wenyewe Iran.π π π Umenikumbusha huyo bibi alikuwa anapenda kuwatia vidume vya mbegu