Hey,kwa wanaosoma na waliosoma bihawana (dom)

Hey,kwa wanaosoma na waliosoma bihawana (dom)

Mao ze dong

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
941
Reaction score
1,014
Jaman sio mbaya tukifahamiana tuliosoma bihawana na mliopo bihawana
 
Mnataka kujuana au kufahamiana?! Mbona mnaonekana hamna malengo mahususi. Mwenye malengo mahususi anipm
 
Mwinjuma, chiwanga, ngusulu (R.I.P) na wengineo.

Makondeko, kibaoni, mbabala, bihawana seminary, korongoni.

Zaga, chipo, full-suti, polar na karanga.

Jitegemee B for life, ujamaa street. Ntarudi baadae ngoja niwahi jidy mara moja.
 
Sisi tuliosoma Mazengo complex tulikuwa tunawaita nyie wa Bihawana 'wanyama pori'![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom