Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,498 Reaction score 18,268 Jun 10, 2017 #21 dexterous said: Mkuu kisandu kaamisha kambi Facebook Jaribu kumtupia jicho Huko Balaa analoliendeleza huko hatari kichaa chake kinazidi kumpanda Click to expand... Hakomi maana kalikaa mahabusu ya Butimba sababu ya uchochezi.huko facebook
dexterous said: Mkuu kisandu kaamisha kambi Facebook Jaribu kumtupia jicho Huko Balaa analoliendeleza huko hatari kichaa chake kinazidi kumpanda Click to expand... Hakomi maana kalikaa mahabusu ya Butimba sababu ya uchochezi.huko facebook
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,490 Reaction score 8,305 Jun 10, 2017 Thread starter #22 melkiorysaranga said: Ukiona yupo kimya jua tayari yupo mahabusu maana anachafua sana kule facebook Click to expand... Kama ni kweli wametuharibia sana,mie nilishamzowea.
melkiorysaranga said: Ukiona yupo kimya jua tayari yupo mahabusu maana anachafua sana kule facebook Click to expand... Kama ni kweli wametuharibia sana,mie nilishamzowea.
dexterous JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,037 Reaction score 3,149 Jun 10, 2017 #23 melkiorysaranga said: Hakomi maana kalikaa mahabusu ya Butimba sababu ya uchochezi.huko facebook Click to expand... Hahaha kumbe walimuweka ndani.....Naona bado hajakoma kabisa Kila siku lazima atupie mada zake za kisandulism
melkiorysaranga said: Hakomi maana kalikaa mahabusu ya Butimba sababu ya uchochezi.huko facebook Click to expand... Hahaha kumbe walimuweka ndani.....Naona bado hajakoma kabisa Kila siku lazima atupie mada zake za kisandulism