beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
we charminglady, nakumbuka mara ya mwisho nimekuacha na mtoto six, huyu C6 nae vp tena, au una kaugonjwa ka sita kwa sita!?? nieleweshe, la sivyo na mimi ntajiita pombekali no.6 nikupate!! teh tih toh!!!
Kijana unatakiwa kubadilika kulingana na tekinolojia aisee mambo ni ki dot.com cielo and b52 are deep in love!
Wewe naweeeeeee lolmma. . .mma...mmaa. . . .magume gume!!
Kuna watu nimenza kuwaandalia ban tayari nawalamba soon we ngoja muone!Kaku touch eeeh!!! kwi kwi kwi!
Hahahahahaaaaaaaaa dah usinikumbushe aisee lolkifua kikubwa si cha kupumzikia wewe, afu nimepita kwenye uzi flani wakakuongelea kuhusu Mwanza, hivi ilikuwaje??
Dah nilipona muda fulani ila nimejifanya mjuaji nimeurudisha ugonjwa hapa nataka ikifika saa mbili na robo niwe naota niko na Kipipi lol yan nauchapa usingizi muda si mrefu
Kaku touch eeeh!!! kwi kwi kwi!