HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

We kwa hakili yako ndogo unaona hii ni bure au unakrupuka .unajua maana ya mkopo ww au unasema tu .hii pesa cc wanafaika tutakja kuirydisha after chuo kwa kias kidogo kidogo .Sasa issue za ktuambia elim bure cio kama ingekuwa bure 2cinge tuma maombi na ukumbuke tulituma maombi takriban 70000.bod ikachambua wenye sifa za kpewa ni 50000's .waliopata mkopo ni 40000's mpaka sasa bado wapo wat wachache ambao hajapata nakushaur think big before u comment anything. Et oh mafanikio ya ukawa mara ngoyai ww unaumwa nn hukumsikia maguful miongoni mwa ahad zake ni ktoa mikopo kwa wanafunz wenye sifa na kusimamia zipelekwe kwa wakat.i can say 2u poor minded
 
Kauli mbiu ya ccm ni "umoja ni ushindi" ila magufuli ni "hapa kazi tu" ccm hakuna walichofanya tena mshukuru upinzani ndio unamfanya magufuli kuwa kasi namna hiyo.ahsante nyingi kwa lowasa kuwafungua macho ccm
 

Attachments

  • Screenshot_2015-11-10-07-07-35.png
    Screenshot_2015-11-10-07-07-35.png
    17.2 KB · Views: 184
Watu wamepata 25,000/- huku ada ni 1,000,000/- huo ni mkopo au dhihaka. Hata mimi naweza kumpa
 
Watu kibao hatujapata nani course ya science. (computer science). Unasemaje watu wote wamepata?? Wapo rafiki zangu wengi tuu na wamechaguliwa course za Engineering na hawajapata.
 
bila shaka mtoa mada utakua ni mwehu...
yaan kupata haki ye2 inaonekana kma ni ki2 cha ajabu...
hii ni haki ye2,hata mjomba ako angekua rais angetakiwa kufanya the same...
pia kumbuka hii pesa 2natakiwa kuilipa hapo badae..!
WE NEED ENL
 
Back
Top Bottom