HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

na je kama bado bodi aijapeleka pesa huko bado inakuwa ni process hio hio

Bodi wanavyotoa majina bas ujue tayar washapeleka had kwenye vyuo husika kwa ajili ya kuanza kwa taratibu za usajili......kwaio hapo inabidi uwe mvumilivu tu...na ukienda bodi ya mikopo nenda kabla ya saa 7 mchana maana muda huo ndio hua wanafunga za mikopo zinabaki shuhuli za kiofc na sidhani kama huo utaratibu umefutwa
 
Jaman niangalizie na mm s.2023.0099.2012


Name:
MAHAZA, ELIAS
Index Number:
S2023.0099.2012
Institution:
ARU
Course:
BSBE
Year of Study:
1
[h=3]Loan Breakdown[/h]
Meals and Accommodation (MA)2,099,500
Books And Stationary (BS)200,000
Field Practical and Trainings (FPT)620,000
Tuition Fee871,000
Research50,000
Special Faculty Requirements (SFR)217,150
TOTAL AMOUNT4,057,650
 
kama ni mtoto wa mkulima unasoma LAW yanini si ukasome AGR SCIENCE
ambayo serikali imeeleza.Afu mi nashangaa bodi ishatoa muongozo kwa kozi ambazo ni kipaumbele. wenye haki ya kulalamika ni ambao wana kozi ambazo ni kipaumbele na bado hawajapangiwa
 
Back
Top Bottom