Naomba mniangalizie S0141/0015/2011
The student with Index number 'S0141.0015.2011' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the FIRST & SECOND LOTS of allocations.
Naomba mniangalizie S0141/0015/2011
na je kama bado bodi aijapeleka pesa huko bado inakuwa ni process hio hio
wamesema watu wanao kidhi ni 50000 na hadi sasa wametoa watu 40000 majina 10000 mengine yanaendelea kupangiwa
Mkuu subili awam nyingine.
kwahiyo mkuu kuna uwezekano wa mimi kuweza kupata awamu nyingine...kwa jins ulivyoona????
Kuna watu humu wanaktsha wenzao tamaa utafkri anaetoa mkopo ni baba ake.......
Jaman niangalizie na mm s.2023.0099.2012
Name | : | MAHAZA, ELIAS |
Index Number | : | S2023.0099.2012 |
Institution | : | ARU |
Course | : | BSBE |
Year of Study | : | 1 |
Meals and Accommodation (MA) | 2,099,500 |
Books And Stationary (BS) | 200,000 |
Field Practical and Trainings (FPT) | 620,000 |
Tuition Fee | 871,000 |
Research | 50,000 |
Special Faculty Requirements (SFR) | 217,150 |
TOTAL AMOUNT | 4,057,650 |
mxaada jaman S0677/0518/2015
nasikia imebaki awamu moja tu wanafunzi elfu 10 ndio watapata tena,, ni kumuomba MUNGU TU.
ambayo serikali imeeleza.Afu mi nashangaa bodi ishatoa muongozo kwa kozi ambazo ni kipaumbele. wenye haki ya kulalamika ni ambao wana kozi ambazo ni kipaumbele na bado hawajapangiwakama ni mtoto wa mkulima unasoma LAW yanini si ukasome AGR SCIENCE
pole sa kwa kutojua mtoto wa mkulima lilikuwa na maan gani usipende kujibu kisa una account humu ndani .kama ni mtoto wa mkulima unasoma LAW yanini si ukasome AGR SCIENCE