HESLB wanatupa hiyo mikopo lini????

Quicklime

Senior Member
Mar 30, 2011
161
50
HABARI ZA KWENU??? Mi mzima kwa kweliiiii,samahani ndugu zangu hii mikopo inaanza kutolewa lini?? mi ni mwanafunzi wa mwaka wa 1 mahala fulaniiii..... KAMA NIMEKUUDHI,..........................
 

Xbeef

New Member
Oct 6, 2011
2
0
hawana siku maalumu ya kuipeleka mikopo vyuoni manake siku hizi system imebadilika,fedha zinaenda vyuoni direct
 

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
169
HABARI ZA KWENU??? Mi mzima kwa kweliiiii,samahani ndugu zangu hii mikopo inaanza kutolewa lini?? mi ni mwanafunzi wa mwaka wa 1 mahala fulaniiii..... KAMA NIMEKUUDHI,..........................

We jiandae na salio la kutosha kabla ya kuja chuo unaweza kuapta huo mkopo hata mwakani hawa majamaa sio kabisa
 

Elai

Senior Member
May 26, 2011
150
7
Baadhi ya vyuo hata continueing students bado hawajapewa mikopo na walishafika vyuoni.mfano tumaini iringa na teku.teku wamesha fanya maandamano siku chache zilizopita. Maandamano na migomo ndiyo njia pekee ya kulazimisha viongozi kuwajibika.utendaji wa bodi wa sasa ni matokeo ya ahadi ya raisi ya kumaliza kero za mikopo kwa kuunda tume.utendaji huu pia unadhihirisha kuwa viongozi wetu wameshandwa kabisa kuelewa/kutafsiri maana halisi ya mkopo.viongozi waliosoma kwa fedha za kodi za watanzania wanashindwa kuwajali watoto wa wakulima waliowengi.mungu wabariki viongozi wetu,ameni.
 

Kebara

Member
Oct 2, 2011
9
1
Utapata tu, kama we allocated. Lakn m2 ka mi ndo nisau kabisa maana bod inamalizia matanga ya mikopo yetu!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
hawana siku maalumu ya kuipeleka mikopo vyuoni manake siku hizi system imebadilika,fedha zinaenda vyuoni direct

hata mwanzoni mwaka wa kwanza wote pesa yako walikuwa wanachukulia chuoni.
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Umesema we ni mwaka wa kwanza!.

Mwaka wa kwanza wote pesa zao zinatumiwa kwenye vyuo vyao, na process zote zinafanywa na chuo husika.

Ina maana, hauwezi kupata pesa kabla ya kuripoti na kufanya registration.

Muda wa kutoa pesa haupo fixed kwa vyuo vyote, hasa vyuo vya private wasumbufu sana. Ila kama vyuo vya serikali, huwa takribani wiki mbili baada ya kufanya registration huwa pesa inaingia.

Nakusihi, kama bado haujaripoti, we jitahidi uende chuo, mengi zaidi utayajua chuoni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom