HESLB wanastahili lawama. Wanastahili kutumbuliwa.

HESLB wanastahili lawama. Wanastahili kutumbuliwa.

Ratiba ya mihula ya vyuo vikuu inafahamika. Inafahamika pia kuwa kuna wanafunzi ambao hawana namna nyingine ya kusoma bila mkopo.
Kama vyuo vimefungua hawa heslb wanadhani watu watajikimu kwa jinsi gani?
Kama ikatokea wanafunzi hasa wa kike wakajikuta wametumbukia kwenye mambo mabaya kwa ajili ya kutafuta wafadhili wa dharula kwa nini bodi wasiwajibishwe kwa hilo?
Kama TCU wanatoa majina kwa awamu kwa nini na bodi wasingetoa kwa awamu ili kila awamu ya TCU ikitoka iambatane na awamu ya bodi ili kila MTU akipata chuo apate
na loan status yake?
 
Serikari haina heraaa mnataka tufanyajee nyie virazaa
weewee ni jingaa kabisaa R na L tu yenyewe umeshindwa kutofautishaa sasa apo nan kilazaa kama si ww??? wenzako hawa wanaenda kutafuta elimu ya juu ambayo si ajabu hata kwenye kabila lako hakuna aliewahii kufikia hicho kiwangoo................. kuwa na adabu ww
 
Jiwe la gizani baba elimu yangu changeni ukoo mzima kudadadek
 
mwisho wa siku tutachoka tutarud home
kama hawatak kuweka mambo sawa si waseme tusipoteze mda
kwan humu jf hamna watu wa hesbl??
Kwel kabsa maana mpaka now naona wenge tu.
Yan n wa kupga lampard chuon, milo miwil kwa cku. Kama tumefukuzwa majumban kwetu bhana.
Bod ya mikopo msitufanyie ivyo na ss n Binadam
 
Marekebisho ww mjuaji hela siyo "heraa" afu usifkili kila post lazma ucoment hapo ni sawa na kusema kila kitu lazma ushiriki mwisho wa siku unaliwa tigo[emoji9] [emoji9]
Nitaliwa nikimaliza kula za ukoo wenu wote
 
hv kwa mfano,aliyeripoti chuo tayari na hana uwezo wa kujisomesha baadaye akaja kuambiwa hajapata mkopo......................itakuwaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni kurud nyumban tu. Kwenda kulima kwenye mashamba ya vibarua maana hakuna namna.
Kusubir kuapple mwakan
 
weewee ni jingaa kabisaa R na L tu yenyewe umeshindwa kutofautishaa sasa apo nan kilazaa kama si ww??? wenzako hawa wanaenda kutafuta elimu ya juu ambayo si ajabu hata kwenye kabila lako hakuna aliewahii kufikia hicho kiwangoo................. kuwa na adabu ww
hebu agiza kinywaji popote ulipo nalipia
 
Unalia lia wakati kuna chuo kimefunguliwa seo 19 hadi sasahivi hawajasign hela ya kujikimu wamekonda balaaa
 
Back
Top Bottom