HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

Mapunda b ,niangalizie n mm plz , S1051/0021/2004


The student with Index number ​
'S1051.0021.2004' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the FIRST LOT of allocations.
 
Dah hao jamaa nilijua wataleta mang'aung'au tuu nikajiombea chuo open university arusha centre BBA IN MARKETING ada yao ni laki nane kwa mwaka
 
naomba kuuliza jamani majina ya mikopo yana awamu ngap?

anaejua naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom