leo nikiwa natoka ndani ya majengo ya TIRDO nimesimama nje pale kusubiria magari jamaa kama watatu hivi na dada mmoja walikuwa wakiongea nanukuu maneno yao "watu wansumbuka san nafasi hizi za kazi haoa heslb watu tayari wanafanyiwa training kwa nafasi hizo jamaa mmoja anasema yeye mwenyewe uncle yake alimwambia apeleke CV tu na picha 3 akasema anatarajia kuanza job next week jamani pccb mpo au ndo mnalinda maslahi yenu pia naomba pccb wafanye kazi
haya subiria kama umeapply mambo haya ni kweli na yanatokea mpendwazingne rumourz tu jaman
Mie nawaambia watu hawanielewi kabisa hali tete hebu imagine watu wanatuhangaisha bure c bora wangeliawajiri hao watoto wa wenye nchi ila siku inakuja TZ panachimbika uvumilivu utakwisha tu hakuna jambo lisilo na mwisho labda watu ndo watashika adabu haswa ccmu hv nothing to loose even u wont be selected but u dont have to give.
siku ya j3 ya 7/11 asbh nikiwa ubungo plaza nikipata breakfast,jirani na meza niliyokuwepo walikaa vijana
wa3,wavulana 2 msichana 1na walikuwa na gazeti la kiingereza ingawa sikujua ni lipi,mmoja wao alanalalamika kupelekwa sehemu asiyopenda hapo heslb,alikuwa anadai anataka loan allocation ila baba yake mdogo anamwambia anamuweka repayment na wkt huo nami nilikuwa nimepanga kukutana na jamaa zangu mchana ili tupeleke application zetu,nilivunjika moyo sana mpaka leo sijapeleka ila nimeona nipeleke kwani huenda nafasi ikawa imebaki hata 1 ambayo nami naweza kuipigania kwa maelfu ya watu waliotuma,hii kazi kwelikweli,tujiandae kuungana hata kwa mitaji midogo ili tujiajiri jamani
Kufika wapi? Hapa ndio tumeshafika, we ukiona taa tu ujue ndio ubungo hiyo huko kimara hakuna taa. Nchi imeshauzwa hii, bila mtaji hakuna kazi.daah hivi tutafika kweli
Mie nawaambia watu hawanielewi kabisa hali tete hebu imagine watu wanatuhangaisha bure c bora wangeliawajiri hao watoto wa wenye nchi ila siku inakuja TZ panachimbika uvumilivu utakwisha tu hakuna jambo lisilo na mwisho labda watu ndo watashika adabu haswa ccm