HESLB: Notice to loan applicants to complete their applications

niangalizie S0386/0149/2012 jina joseph peter cm yangu pdf file inazngua
 
Haiwezekani hiyo ni kwaajili ya watu waliokosea tu,na wanaenda direct kwenye ofisi ya bodi
 
kwenye list ya certificate haikua birth certificate peke ake,,zilikua nying mfano national identification card,voter registration card,,hizi zote zilikua option kwenye list yao,,,sasa mbn wengine wameambiwa incomplete kwa kosa LA kutoeka birth certificate,,ilihali ilikua ni option? kuchagua cheti ulichonacho apo walikua wanaangalia kigezo gan wakuu??

Mkuu hata mimi Nashanga ila mimi niliweka kadi ya mpiga kura. Nashukuru jina langu sijalionaa kwa waliokosea. Upande mwingine me naonaa watakuwa walikuwa wanataka urahisi wa kutoa taarifa....
 
Au kuweka kadi ya mpiga kura si ndio mkuu
dogo usiwe mbishi, hayo maandishi ya chini lazima yatimie ndio upewe mkopo. lazima uambatanishe au usign

  • Applicant’s Signatures,

  • Applicants’ Photos,
  • Birth Certificates,
  • Guarantor’s Photos,
  • Guarantor’s Signatures,
  • Unsigned applications by Local Authorities,
  • Unsigned applications by the Magistrates,

kwa kesi yako kusema umeachiwa aidha jikubalishe na matokeo haya,

1.Fomu yako haikufika bodi ya mikopo.

2.Fomu yako inashughulikiwa huku wakaguaji watakua wamesahau na wamekosea na utajulikana kama ambae umekamilisha hivo viambatanishi.

3.fomu yako ina mapungufu mengi kiasi ambacho sasa ninavoandika iko kwenye kopo la taka
 
Hahaha hahahahaaa
 
Attachments

  • 1440871421390.jpg
    1440871421390.jpg
    39.7 KB · Views: 213
dogo usiwe mbishi, hayo maandishi ya chini lazima yatimie ndio upewe mkopo. lazima uambatanishe au usign

  • Applicant’s Signatures,

  • Applicants’ Photos,
  • Birth Certificates,
  • Guarantor’s Photos,
  • Guarantor’s Signatures,
  • Unsigned applications by Local Authorities,
  • Unsigned applications by the Magistrates,

kwa kesi yako kusema umeachiwa aidha jikubalishe na matokeo haya,

1.Fomu yako haikufika bodi ya mikopo.

2.Fomu yako inashughulikiwa huku wakaguaji watakua wamesahau na wamekosea na utajulikana kama ambae umekamilisha hivo viambatanishi.

3.fomu yako ina mapungufu mengi kiasi ambacho sasa ninavoandika iko kwenye kopo la taka

Sema mkuu hapo kidogo umenena suala la fomu kuto kufika inawezekana but vyote nimekamilisha hebu Sasa na ww nisaidie namba moja umeelewa niniiiiii maana naweza kuwa nabisha but ikala kangu hebuuu tusaidiane mkuu namba moja hiyoo...
 
yeah inaweza kuwa viambatanisho vya mwaka jana tofauti, lakin bodi inaposema inataka cheti cha kuzaliwa ni kwa ajili ya kujua aidha wewe ni mtanazania ausio mtanzania.
Nakubali kuwa pengine bodi wamebadilisha viamabatanisho.
Hebu tujiulize swali kwanini bodi iseme wanafunzi waliomba mikopo hawajajaza hayo yafuatayo kama ni optional?

  • Applicant's Signatures,

  • Applicants' Photos,
  • Birth Certificates,
  • Guarantor's Photos,
  • Guarantor's Signatures,
  • Unsigned applications by Local Authorities,
  • Unsigned applications by the Magistrates,
Napenda ujiulize hivo vitu vinaweza kuwa optional kwenye elimu yetu ya tanzania?
Nakubali kuwa REGISTRATION VOTE inakujua kuwa wewe ni raia, na inaweza ku replace BIRTH CERTIFICATE,
Je? wajua kuwa tume ya uchaguzi NEC imetoa tahadhari kuwa wageni wote walojiandikisha kuwa warejeshe vitambulisho?
Namaanisha bodi itaendeleakuibiwa hela nyingi na wageni amabo wanakuja kusoma TANZANIA na hii inarejesha nyuma nchi yetu.
Nina imani utajiuliza haya maswali kwa makini kwanini kituoptional kimkoseshe mtu mkopo kwasababu tu hajaambatanisha?
Think in neutral mind
 
Upo sahihi mkuu nafikili by j 3 tutapata majibu sahihi coz Kuna mtu nitamuagiza aende ofisi za heslb aulize vizurii. Unajua m2 unawezaa kukosa haki yako ya msingi kwa mambo yasiyo na mantiki but in case kama barua haijafika na sijakosea anuani mbonaaa nitawafungulia kesi hao Posta...
 
mi hakim hajaweka jina langu kuthibitisha mkopaji je naweza kumwagiza mtu aniandikie hilo jina maana mi nko mbali
 
Back
Top Bottom