Queen lizy
Member
- Aug 28, 2017
- 24
- 6
Jaman najiona kama vile Nina bahati mbaya, hivi bodi hawakujua kuwa kuna wanafunzi wanaweza kucarry hata kwa bahati mbya , sasa wanategemea ntaishije..jaman mwenye uzoefu na hili anisaidie, Mimi ni continous student second year, first semester nikiwa mwaka wa kwanza nilipata carry Over ya kozi moja, je hii yaweza kuwa sababu ya jina kangi kutokutokea kwenye sheet? Na je inatakiwa niirudie kozi kwanza ndo wanipe pesa au inakuwaje, naomben maoni yenu wakuu.