Inasikitisha hii
Ulimwenguni popote pale hakuna sheria yeyote inayotungwa halafu ika applied retrospectively. Sheria zote mpya zinazotungwa zinakuwa applied prospectively.
Maana yake ni kwamba wale wafaidika wa bodi ya mikopo waliokopa mikopo wakati sheria inasema makato ni 8%. Basi wanatakiwa kuendelea kukatwa 8% katika mishahara yao.
Ila wanafunzi wapya ambao watakopa wakati sheria imebadilishwa na kuwa makato ni 15% ya mishahara yao, basi hao ndio wanatakiwa kukatwa 15% katika mishahara yao.
Nitashangaa sana WASOMI wetu waliosoma wakati sheria inasema kwamba makato ni 8% ya mshahara wao, kama watakubali kukatwa katika mishahara yao 15% (retrospectively). Nitawadharau sana na kuona nchi hii inafundisha UJING.A vyuoni.
For the food of thought. Nyerere aliwahi kuwakamata wahujumu uchumi. Baada ya kuwakamata akapeleka bungeni mswaada wa uhujumu uchumi ukapita na kuwa sheria. Watuhumiwa hao wakafungwa kwa sheria hiyo (retrospectively).
Lakini hao watuhumiwa wa uhujumu uchumi walikata rufaa, kwa misingi hiyo kwamba hawawezi kuhukumiwa kwa sheria ambayo haikuwepo wakati walipotenda kosa (retrospectively), walishinda wote kesi zao na kuachiwa huru.
Inaonekana tangu wakati wa Nyerere bado serikali haijajifunza kwamba sheria hazi apply retrospectively. Wasomi amkeni nendeni mka challenge huo uamuzi mahakamani, mtakuwa mme set good president kwa utawala wa sheria kama walivyofanya watuhumiwa wa uhujumu uchumi.
The ball is in your court WASOMI.
Hivi umeelewa alichoandika mtoa mada au umekurupika huko na ushabiki wako kuja kubisha tu.Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
Hapa naona kama kutakuwa na mchango ili kupata wakili wataofungua kesi kupinga hilo swala la kukatwa 15% wakati tulisign 8%Ukawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli
namashaka kama umemuelewa mtoa mda, rudia tena kusoma bado una mdaUmekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
Hapo umechangia nini? Hajasema hataki kukatwa! Mwelewe vizuri mtoa hoja!Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na siyo reasoning sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na siyo reasoning sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
Ukijumlisha na haya hakii tena hatufikiPolen wanufaika. Ila. Maisha haya hayatafika kabisa
Wasomi hawaropoki kwa kusoma kichwa tu na kutoa maoni, soma content kwanza, tafakari kisha lete maoni yakoSina huwo muda, nimesoma kichwa cha habari tu, halafu nikapasuka!
Lowassa, alisema angewasamehe madeni wote waliokuwa wanadaiwa na Bod.Ukawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli