Kwa hili ni la kisheria zaidi mkuu, likikaa vyema kisheria lina mashiko.Nadhani umeandika vizuri. Hata hivyo nadhani si sahihi kumwaga lawama zote kwa wasomi kwani Mara nyingi wasomi wanapaza sauti lakini serikali ikiamua imeamua. Haitaki kusikiliza mwanasiasa wala msomi!
Lowassa, alisema angewasamehe madeni wote waliokuwa wanadaiwa na Bod.
Tatizo ni mibunge yetu
10,000,000Hiyo mibunge haikujichagua ndugu.
Kuna mibwege iliyochagua hiyo mibunge nadhani.
Kwaiyo ccm sisi unaona akili zetu za darasa la saba niniUkawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli
Ndio dawa iliyobakiMi sijakatwa, nadhani ni kwa sabu nimebaki na theluthi moja ya mshahara
ukawa wanatoa wapi locusUkawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli
Hivi kumbe bado kuna watu huwa mnajibizana na huyu?Hapo umechangia nini? Hajasema hataki kukatwa! Mwelewe vizuri mtoa hoja!