HESLB kukata 15% ktk Mishahara ya wanufaika: Sheria haiwezi kutumika retrospectively

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
3,270
Ulimwenguni popote pale hakuna sheria yoyote inayotungwa halafu ikawa applied retrospectively. Sheria zote mpya zinazotungwa zinakuwa applied prospectively.

Maana yake ni kwamba wale wafaidika wa bodi ya mikopo waliokopa mikopo wakati sheria inasema makato ni 8%. Basi wanatakiwa kuendelea kukatwa 8% katika mishahara yao.

Ila wanafunzi wapya ambao watakopa wakati sheria imebadilishwa na kuwa makato ni 15% ya mishahara yao, basi hao ndio wanatakiwa kukatwa 15% katika mishahara yao.

Nitashangaa sana WASOMI wetu waliosoma wakati sheria inasema kwamba makato ni 8% ya mshahara wao, kama watakubali kukatwa katika mishahara yao 15% (retrospectively). Nitawadharau sana na kuona nchi hii inafundisha UJINGA vyuoni.

For the food of thought. Nyerere aliwahi kuwakamata wahujumu uchumi. Baada ya kuwakamata akapeleka bungeni mswaada wa uhujumu uchumi ukapita na kuwa sheria. Watuhumiwa hao wakafungwa kwa sheria hiyo (retrospectively).

Lakini hao watuhumiwa wa uhujumu uchumi walikata rufaa, kwa misingi hiyo kwamba hawawezi kuhukumiwa kwa sheria ambayo haikuwepo wakati walipotenda kosa (retrospectively), walishinda wote kesi zao na kuachiwa huru.

Inaonekana tangu wakati wa Nyerere bado serikali haijajifunza kwamba sheria hazi apply retrospectively. Wasomi amkeni nendeni mka challenge huo uamuzi mahakamani, mtakuwa mme set good president kwa utawala wa sheria kama walivyofanya watuhumiwa wa uhujumu uchumi.

The ball is in your court WASOMI.
 
Ukawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli
 
Ulimwenguni popote pale hakuna sheria yeyote inayotungwa halafu ika applied retrospectively. Sheria zote mpya zinazotungwa zinakuwa applied prospectively.

Maana yake ni kwamba wale wafaidika wa bodi ya mikopo waliokopa mikopo wakati sheria inasema makato ni 8%. Basi wanatakiwa kuendelea kukatwa 8% katika mishahara yao.

Ila wanafunzi wapya ambao watakopa wakati sheria imebadilishwa na kuwa makato ni 15% ya mishahara yao, basi hao ndio wanatakiwa kukatwa 15% katika mishahara yao.

Nitashangaa sana WASOMI wetu waliosoma wakati sheria inasema kwamba makato ni 8% ya mshahara wao, kama watakubali kukatwa katika mishahara yao 15% (retrospectively). Nitawadharau sana na kuona nchi hii inafundisha UJING.A vyuoni.

For the food of thought. Nyerere aliwahi kuwakamata wahujumu uchumi. Baada ya kuwakamata akapeleka bungeni mswaada wa uhujumu uchumi ukapita na kuwa sheria. Watuhumiwa hao wakafungwa kwa sheria hiyo (retrospectively).

Lakini hao watuhumiwa wa uhujumu uchumi walikata rufaa, kwa misingi hiyo kwamba hawawezi kuhukumiwa kwa sheria ambayo haikuwepo wakati walipotenda kosa (retrospectively), walishinda wote kesi zao na kuachiwa huru.

Inaonekana tangu wakati wa Nyerere bado serikali haijajifunza kwamba sheria hazi apply retrospectively. Wasomi amkeni nendeni mka challenge huo uamuzi mahakamani, mtakuwa mme set good president kwa utawala wa sheria kama walivyofanya watuhumiwa wa uhujumu uchumi.

The ball is in your court WASOMI.

Tuchukulie mtu ana mkopo, mikopo mingine kabla ya hii sheria, na kuna sheria ya HR inayohusu kiwango ambacho mfanyakazi anaweza kukatwa mshahara wake kulipia mikopo, itakuwaje kama itazidi kiwango hicho?
 
Waache waamuae lei na sisi tutakuja kuamua nabkuanzia pale walipo ishia kurudi nyuma hili tuguse masilahi yao
 
Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
Hivi umeelewa alichoandika mtoa mada au umekurupika huko na ushabiki wako kuja kubisha tu.
Mtoa mada hakusema watu wasilipe, lakini wale ambao waliingia mkataba wa repayment ya 8% hawez kulipa 15% kwa sababu yeye hakukubaliana na makato ya asilimia hizo. Ila pia atatakiwa kulipa penalty ambazo alikubali kwa wakati anachukua mkopo kwa uzembe wa kutolipa deni kwa wakati.
 
Ukawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli
Hapa naona kama kutakuwa na mchango ili kupata wakili wataofungua kesi kupinga hilo swala la kukatwa 15% wakati tulisign 8%
 
Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
namashaka kama umemuelewa mtoa mda, rudia tena kusoma bado una mda
 
Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na siyo reasoning sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!
Hapo umechangia nini? Hajasema hataki kukatwa! Mwelewe vizuri mtoa hoja!
 
Umekwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na siyo reasoning sasa umekijua kwa kiasi fulani lkn kichwani ni mweupe pe, na wala haujui unachokiongea, unajifanya kuandika kizungu lkn Wazungu hauwaelewi, sasa kwa taarifa yako siyo Mshahara tu Wazungu wanakata mpaka akiba yako ya uzeeni (Pensheni) kama haujalipa deni na wakati mwingine wanakwenda mbali hata kudai Watoto wako!

we Jamaa huwa nakushangaa sana, kazi yako ni kusubiri thread na kujibu utumbo, wala hujilazimishi kuelewa!! Nafikiri hukuwa kufika chuo kikuu!! Ungejua ungeelewa utaratibu wa kupata mkopo ulivyo na makubaliano yalivyo. Eti wazung wanakata kiunua mgongo!! wazungu wa wapi hao?? wa kwenu kwa mtogole??
 
Polen wanufaika. Ila. Maisha haya hayatafika kabisa
Ukijumlisha na haya hakii tena hatufiki
6fb7fb9e7aa118b4ee716d9c79f08e06.jpg
 
Ukawa tunaomba muoneshe uwezo wenu katika hili, kuweka. Wanasheria mahili na kufungua kesi kwa niaba ya waathirika hawa kura zetu mtaendelea kuzipata 2020. Binafsi sijaona bado umuhimu wa kupiga kura kama hili litatekelezwa, kinaumiza sana kwa kweli
Lowassa, alisema angewasamehe madeni wote waliokuwa wanadaiwa na Bod.
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom