heslb- kigezo cha shule sio!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

heslb- kigezo cha shule sio!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mama lubango, Aug 23, 2011.

1. mama lubango

mama lubango Member

#1
Aug 23, 2011
Joined: Aug 16, 2011
Messages: 56
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
moja ya cfa ya m2 ku2nukiwa mkopo ni kuangalia shule alizosoma mhusika frm primary 2 A level. Sasa kwa cc ambao 2mesoma shule lets say za matawi ya juu na kumbe behind ze scene 2likuwa 2nafadhiliwa & shule husika inakuwaje? c tutanyimwa bum ile hali cc ni mapeasant?! kwann bodi isizingatie tu data za kiuchumi za mzaz husika??! AU MI NIPO WRONG JAMAN????!

2. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#2
Aug 23, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180
Hilo lisikuchanganye kabisa... ile mikopo naona wanatoa kwa njia ya listing of all wahusika na kuanza kuchagua kwa ku select jina kuruka lifuatalo... kuselect lingine kuruka lifuatalo and so on... For kama wangekua kweli wanatumia vigezo husika sidhani kama wale ambao wanahitaji more huo mkopo wangewekwa maybe grade 'C' hali mtu ambae ni wazi wana uwezo wa kujikimu na kujilipia ada saa ingine yupo grade 'A'... Hivo don't worry be happy.

3. G_crisis

G_crisis JF-Expert Member

#3
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2011
Messages: 715
Likes Received: 62
Trophy Points: 45

my God ndo mtindo wa ana anado!

4. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#4
Aug 23, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

kama ulikuwa unafadhiliwa si utaendelea kufadhiliwa? Kigezo cha shule ndo muhm kuliko vyote kwavile haiwezekani sekondar ulipe ada yd mil.2 ushindwe kulipa Mil.1 ya chuo.

5. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#5
Aug 23, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Pole... lakini mimi naona criteria hii ni nzuri kwa kiasi chake though inamapungufu.
Kwa system yetu ya elimu ilivyo.. asilimia kubwa ya privete schools wanalipa ada kubwa kuliko hata chuo!
Kama mtu aliweza kupata udhamini secondary school ambapo fees ni kubwa,, wanaasume pia ataendelea kupata udhamini huo chuo!

6. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#6
Aug 23, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
acha uhuni katika uhandishi wako kwa ushakuwa mkubwa.

7. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#7
Aug 23, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,453
Likes Received: 19,823
Trophy Points: 280
na hawa ccm wanaotumia makalio kufikiria inabidi waondoke kwanza ndio kitaeleweka

8. mama lubango

mama lubango Member

#8
Aug 23, 2011
Joined: Aug 16, 2011
Messages: 56
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

nitaendeleaje kufadhiliwa & shule ya secndry ile hal nipo chuo? je kama shule ilkuwa inanifadhl kwa interests zake bnafs & sasa sipo ktk shule yao wataendelea kunifadhl ili iweje? tumia logic japo kdogo

9. Perry

Perry JF-Expert Member

#9
Aug 23, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

kwan we ulikua husomi kwa malengo?

10. First Born

First Born JF-Expert Member

#10
Aug 23, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
we usomeshwe shule ada mil 3 afu ushindwe kujilipia coz ya sh 1.5mil kwa mwaka?
Na hata kama ulikuwa unafadhiliwa kwani huyo mfadhili wako alikusomesha miaka kibao kwa mihela lukuki atashindwa kukulipia hiyo kidunchu?
Acheni kulialia bhana, hiyo facta mi naona ina mater zaidi.

11. A

ABEL DON Member

#11
Aug 23, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 37
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Kigezo cha kuangalia shule ulizosoma kimekaa poa.Kwa sababu waki2mia kigezo cha kaz za wazaz,applicants wengi wamedanganya kuwa wazaz wao ni peasants hata kama wapo mataw ya juu.SO kigezo cha xul uliyosoma ndo mpango mzima.

12. m

man ima New Member

#12
Aug 29, 2011
Joined: Aug 27, 2011
Messages: 4
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kigezo cha kuangalia xul ndo mpango mzma coz mtoto wa mapizant hawez enda xul kama feza yan namanisha atakaye kwenda xul kama hyo ni mtoto wa fogo

13. Perry

Perry JF-Expert Member

#13
Aug 29, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Kwa hyo we dogo,ulitaka wa2mie kigezo gan labda?

14. Cobeles

Cobeles Member

#14
Aug 31, 2011
Joined: Jul 10, 2011
Messages: 7
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kigezo walichotumia bodi cha kuangalia shule aliyotoka mtu ni nzuri kwa sababu mtu mwingine toka primary amesoma xul za gharama na zenye ubora ambazo ni zaidi ya 1mil na aliweza kuhumudu lkn cha kushangaza chuo anakuja kupata mkopo 100% but ambae amesoma kwa shida tena kwenye shule ambazo hakuna ubora wowote{e.g xul za kata} lkn anapunjwa mkopo au kukosa kabisa. Wana Jf tukisema mambo yaende hivyo tutajikuta wasomi walio wengi ni wenye nazo.Kwa kigezo walichotumia bodi kwa upande flani italeta matumaini kwa watu walisoma kwa shida na hatimaye kupata wasomi mbalimbali ambao ni muhimu ktk maendeleo ya taifa letu la Tanzania.

Loading...