HESLB inanipa wakati mgumu wanajamvi

HESLB inanipa wakati mgumu wanajamvi

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Nimenununua transaction ID kwa mpesa toka IJUMAA tar.14/06.
mpaka sasa sijafanikiwa kujisajili.......Nifanyaje na siku ndo izo zinakata na tar.24 naenda jeshi
nisaidie wandugu
 
nimenununua transaction id kwa mpesa toka ijumaa tar.14/06.
Mpaka sasa sijafanikiwa kujisajili.......nifanyaje na siku ndo izo zinakata na tar.24 naenda jeshi
nisaidie wandugu

ulivyonunua hukutumiwa sms yoyote?
 
Umefanya hiyo process lini...usijidanganye kwa kutumia smartphone kujaza process za helsb...tumia computer. ...coz kuna mtu ilimjibu hivyo hivyo.

Alivyotumia computer. ..fastaa ikakubali
 
Wakati mwingine ni matatizo ya mtandao...endelea kujaribu ukishindwa wasiliana nao kwa namba 0225507910
 
Vuta subira kijana. Kijana wangu naye ilikuwa hivyo hivyo. Tulisubiri baada ya siku2 ikakubali. Ni matatizo ya mtandao kati ya Mpesa na Bodi katika kuipeleka hiyo ID yako! Vile vile tumia pc kwavile mwisho utatakiwa kuprint hard copy ambayo utaituma kwa EMS!
 
nimetumia pc mkuu,cjatumia cm
 
Vuta subira kijana. Kijana wangu naye ilikuwa hivyo hivyo. Tulisubiri baada ya siku2 ikakubali. Ni matatizo ya mtandao kati ya Mpesa na Bodi katika kuipeleka hiyo ID yako! Vile vile tumia pc kwavile mwisho utatakiwa kuprint hard copy ambayo utaituma kwa EMS!

kuna mtu ananiambia eti weekend haifai kusajili mana hawapo kazin,z it real,,,,mana leo ni siku ya tatu
 
Wakati mwingine ni matatizo ya mtandao...endelea kujaribu ukishindwa wasiliana nao kwa namba 0225507910

nimawacal but mara nijibiwe no.haipo,mara ipo bize,yan choka sana
 
Nimenununua transaction ID kwa mpesa toka IJUMAA tar.14/06.
mpaka sasa sijafanikiwa kujisajili.......Nifanyaje na siku ndo izo zinakata na tar.24 naenda jeshi
nisaidie wandugu

JITAHID HZ PROCESS KAFANYIE KWENYE KOMPYUTA sehem yoyote ileTZ ukiulza utawakuta wenzako watoto wa wakulima kbao wanajaza sehem fulan penye internet nenda ukiwa unajazia chumban na simu itakugharimu,utakose baadh ya vpengele utashndwa kurekebsha ww utakuwa jesh!
 
Mkuu icheki hiyo id vizuri,inaanza na herufi,alaf namba mbili zinafuata,angalia vizuri,hata mie ilinisumbua nikidhani kuwa ni sifuri,kumbe ilikuwa herufi O,kuwa makini nazo,itakubali.
 
ndugu,natumia computer SIO simu
 
Mkuu icheki hiyo id vizuri,inaanza na herufi,alaf namba mbili zinafuata,angalia vizuri,hata mie ilinisumbua nikidhani kuwa ni sifuri,kumbe ilikuwa herufi O,kuwa makini nazo,itakubali.

poa ndugu
 
Mkuu hata mimi ilinisumbua sana ikakubali baada ya siku tatu wewe kila wakat jarib kujaza itakubal tuu mkuu pia inaweza kukubali lakin kwenye kujaza form ikaanza kusumbua tenaa good luck
 
Uwe unajaribu kila mara then labda voda hawaja forwad kwenda HESLB... Ikishindikana then nenda makao makuu utapat msaada
coz hata mimi ilinipa shida kidogo ila mwisho wa cku ikakubali.
 
Back
Top Bottom