Heslb hii imekaaje??

Heslb hii imekaaje??

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,083
Reaction score
1,326
nilituma maombi ya mkopo na kila kitu nikaweka halafu leo naambiwa cheti cha kuzaliwa hakipo wakati cheti niliambatanisha wakati natuma..
 
Wenenda2 loan board mapema uku amna atae kusaidia just wafate na documents ukarekebishe mkuu
 
nilituma maombi ya mkopo na kila kitu nikaweka halafu leo naambiwa cheti cha kuzaliwa hakipo wakati cheti niliambatanisha wakati natuma..
We nenda pengine hukubana pamoja.... (Mwenye haja ni weewe so wao hawana shida usipooenda)
 
nilituma maombi ya mkopo na kila kitu nikaweka halafu leo naambiwa cheti cha kuzaliwa hakipo wakati cheti niliambatanisha wakati natuma..
lete ubish tu uone kitakacho kukuta.
Wakikwambia ata picha yako hawajaiona kua Kama kichaa wapelekee.
Lakn pia unaweza kuacha kama utaweza kujisomesha.
 
Loan applicants who did not attach applicant’s photo, guarantor’s photo (to their application forms) or who attached uncertified photocopies of birth certificates, academic certificates, guarantor’s particulars such as photocopy of Passport or voter’s registration cards; should send the missing particulars with covering letters indicating their full names and form four index numbers with year of completion e.g. S0143.0012.2013 via EMS through the following address:

The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
 
Hapo hutakiwi kwenda ila piga copy chet ipitishe copy yako kwa hakim aipige muhuri kisha watumie
 
Loan applicants who did not attach applicant’s photo, guarantor’s photo (to their application forms) or who attached uncertified photocopies of birth certificates, academic certificates, guarantor’s particulars such as photocopy of Passport or voter’s registration cards; should send the missing particulars with covering letters indicating their full names and form four index numbers with year of completion e.g. S0143.0012.2013 via EMS through the following address:

The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
Plizi transileti am noti stadi withi yu ma niga
 
Hapo ndo ushangae.. option ya kuprint ilikuwa haiji kama hujaweka details zote zikiwamo Picha lakini unaambiwa hamna picha yako
 
mimi enyewe ilinitokeaga kama hivyo na nikatuma kwa posta tena barua mbili kwa msisitizo zaidi.... NA NIKAPATA BOOOM LANGU
 
Back
Top Bottom