Wanafunzi 2,177 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 7.26 bilioni baada ya kuwasilisha maombi ya rufaa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kujaza taarifa na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uhitaji wao.

Final result?😳😳😳
Hawa kweli wanacheza na watoto!
Ndio maana wanang'ang'ania kila mwanafunzi aangalie kwenye SIPA akaunti yake.
Hii inafikirisha kama kweli waombaji wanapewa mkopo!
Poleni sana pesa imeenda upande wa pili.

Upangaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2023/2024 umefungwa. Tafadhali jiandae kwa msimu mpya utakaofunguliwa kuanzia mwezi March, 2024.
Je, hiyo March, 2024 process nzima inaanza upya na itawahusu hata wale first year ambayo hawaku-qualify kupata mkopo? Na kwa kumbukumbu zilizo kwenye system yao ni kipi hasa kinachoweza kuwashawishi HESLB kutoa mkopo kwa aliyekosa kipindi hiki?
Nina swali.
Mtu kwao ni iringa na kwenye fomu ya mkopo amejaza hivyo lakini chuo ni morogoro.
Je Ni lazima mwenyekiti wa mtaa na mjumbe awe wa iringa kule aliikotokea?