Heslb acheni dharau kwa vyuo vingine.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nyie loans board mnadhìhrisha kabisa kwamba mnadharau kwa vyuo vngne mfano udom.chuo kama udsm tumewekewa bumu la mwisho cku nyingi sana na wala hata hamkutusumbua,lakn vyuo vngne mpaka leo hii watu wameanza kuishi maisha ya dhiki vyuon hamjawapa pesa yoyote kwa kisingzio kwamba mmeishiwa.acheni ujinga bana,wapeni watu pesa zao fasta.
 
Mwenge University wanamaliza mitihani ya kumaliza semester ya pili kuanzia tar 02/06 lakini mpaka sasa hata kusaini hawajasaini.
Hii ni dharau.
 
jamani, jamani, si tunasikia kwamba hazina wametoa pesa jumatatu kwenda bodi ya mikopo? labda mvute subra kidogo
 
Back
Top Bottom