kwel Mkuu hakuna kitu utaandika hapa usipate majibu na mawazo chanya na hasi. Ya kujenga na ya kubomoa mi nawapenda sana watu wa humu as long hatufahamiani ni raha tupu. Japo kuna time utashukiwa hadi unajionea aibu, nawaapreciate sana sana watu wa humu big up kwa wakosoaji, wapondaji, watoa mawazo mazuri Mungu awabariki sana. Ila kuna tatizo la story za kutungwa humu, naomba watu wazipunguze jamani hua zinachosha na zinakimbiza watu kutembelea humu, pia kupost kila ujinga sio sawa ukijamba unapost hii sio sawa