Heshima ya mwanamke wa sasa ipo wapi?

Kwahiyo unataka kusema mashetani ni haya yanayotusumbua uraiani sio?🀣🀣🀣🀣🀣
Labda kama umewahi kumuona utuambie maana historia inaonyesha huyu kiumbe ndiye mwenyewe haswaa.
 
Uko sahihi
 
Hivi mna uhakika Hawa tunayoishi nao ni wanawake?
Kwenye Dunia ya sasa hii ya kidigital,sizani kama Kuna wanawake tena mi naona kuna jinsia ya kike,
Kizazi Cha Lilith na sio Eva!
 
Toka enzi
Upo sahihi kabisa. Na wanaume kwa kulijua hilo ndipo tunaamua kushika tena mamlaka yetu unakutana na watu wanakupinga na kukupangia, mimi ndio maana nakuwa mkali na mkorofi.
Mwanaume lazima uwe mtawala halafu sifa yapili uwe kiongozi lazima uwe hivo ila kwa sasa wanaume tumebaki na uongozi tu hili ndoinaleta 50/50
 
Hivi mna uhakika Hawa tunayoishi nao ni wanawake?
Kwenye Dunia ya sasa hii ya kidigital,sizani kama Kuna wanawake tena mi naona kuna jinsia ya kike,
Kizazi Cha Lilith na sio Eva!
Mkuu nimeshuhudia kwa kiasi ndoa zawazee wetu ilikuwa nihatali mwanamke alikuwa anatawaliwa hakuwa nachakujadiliana na mwanaume nakila kitu kilikuwa sawa leo wanaume tunakwepa majukumu halafu tunataka kuwaongoza wanawake hiyo mbaya
 
Hata mimi nakazia wanawake hawapendi kuzaa achana nao wenye changamoto zauzazi mtu anazaa watoto wawili halafu anasema hazai tena huyo ndounamwita anapenda kuzaa?
 
Kujitetea kwiiiingi,lakini wanaume wengi ni waoga!
Sio kwamba wanaume ni umbwa kama alivyosikika mwanamke aliyebeba mimba tatu za watu tofauti na wote wamekimbia?
 
inasikitisha sana
 

Attachments

  • cheka_leo__7b60c388885445f689a024ee1c57db0a.mp4
    436.8 KB
Asante kaka, mambo ni moto. Mimi nina shauku sana kujua kuhusu hii ishu ya kwamba wanawake ndio waliotaka wakeketwe. Una reference gani? Vitabu au hata online reference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…