Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
Ameeen[emoji122] [emoji122] [emoji122]Amen [emoji122] [emoji122] bwana asifiweee
FF ufafanuzi tafadhali...Sikiliza kijana kwa umakini sana...
Ukitaka mwanamke akuheshimu basi uwe ni mwenye kumtimizia haja zake zote. Haja moja kubwa ambayo hata umpe mali, majumba, magari, watumishi, biashara na kila kitu, kama hujaitimiza hiyo ipaswavyo basi ujuwe mwanamke hatokuheshimu kabisa, atakuwa anafanya usanii tu, nayo ni unyumba. Unyumba haswa haswa na siyo wa kubabia-babia.
Na pindi utapomtimizia haja zake za unyumba basi hata usiwe na mali, atakuheshimu maisha.
"Vulva" haijuwi Mungu inajuwa mhogo tu.
FF ufafanuzi tafadhali...
Unyumba wa kubabia-babia ndo ukoje?
Well said FaizaFoxySikiliza kijana kwa umakini sana...
"Vulva" haijuwi Mungu inajuwa mhogo tu.
Sikiliza kijana kwa umakini sana...
Ukitaka mwanamke akuheshimu basi uwe ni mwenye kumtimizia haja zake zote. Haja moja kubwa ambayo hata umpe mali, majumba, magari, watumishi, biashara na kila kitu, kama hujaitimiza hiyo ipaswavyo basi ujuwe mwanamke hatokuheshimu kabisa, atakuwa anafanya usanii tu, nayo ni unyumba. Unyumba haswa haswa na siyo wa kubabia-babia.
Na pindi utapomtimizia haja zake za unyumba basi hata usiwe na mali, atakuheshimu maisha.
"Vulva" haijuwi Mungu inajuwa mhogo tu.
[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ukweli mtupu,,.Sikiliza kijana kwa umakini sana...
Ukitaka mwanamke akuheshimu basi uwe ni mwenye kumtimizia haja zake zote. Haja moja kubwa ambayo hata umpe mali, majumba, magari, watumishi, biashara na kila kitu, kama hujaitimiza hiyo ipaswavyo basi ujuwe mwanamke hatokuheshimu kabisa, atakuwa anafanya usanii tu, nayo ni unyumba. Unyumba haswa haswa na siyo wa kubabia-babia.
Na pindi utapomtimizia haja zake za unyumba basi hata usiwe na mali, atakuheshimu maisha.
"Vulva" haijuwi Mungu inajuwa mhogo tu.
Mi naamini kumridhisha mwanamke na hasa mkeo sio lazima upige show ya kibabe ila fanikisha afike kwenye "kilele".Ambao haumridhishi mwanamke.
Mi naamini kumridhisha mwanamke na hasa mkeo sio lazima upige show ya kibabe ila fanikisha afike kwenye "kilele".
Kwa mke kumfikisha kileleni ni rahisi maana utakuwa unazijua " areas of weaknesses" zake.
We waonaje?

Buku ni kubwa mno FF,yaani chapter 20 zote hizo za nini?Vijana, mara kwa mara huwa nnawaambia someni hiki kitabu, kitawasaidia sana:
The Perfumed Garden Index
Mtumishi naomba kuuliza swali, hivi kwanini ndoa za siku hizi zimekuwa ni kama kupasha moto kuporo? Kwa maana unakuta kabla ya watu kuanza kuchangisha michango ya harusi wanakuwa wameshaishi muda mrefu na wameshakuwa na watoto kama si mtoto. Tatizo liko wako Mtumishi?Usipomuheshimu Mkeo Mungu hawezi kukusikiza uombapo, vivyo hivyo usipomuheshimu Mumeo Mungu hawezi kukisikiza uombapo
Ndoa ni tendo la heshima na lenye baraka za Mungu, vivyo hivyo wanandoa nao wanapaswa kuheshimiana ili wapate kiziteka baraka za ndoa ambazo Mungu aliziachilia kwa wanandoa wote
Kulala na Mke asiye mke wako, na kulala na Mume asiye Mume wako, hilo ni tendo la kuikosea heshima ndoa, pia ni kumdharau Mungu ambaye nduye muanzilishi wa ndoa.
Heshima ya ndoa haiishii kwenye ndoa yako tu, bali kila mmoja anapaswa kuheshimu ndoa za watu wengine.
Ndoa zenye migogoro huwafanya wanandoa kutokuwa wenye afya njema kimwili na hata kiroho kwakuwa muda mwingi hutumia kutatua migogoro ya ndoa yao au kulipizana visasi.....
1PETRO 3:7 (imeandikwa) Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi KUOMBA KWENU KUSIZUILIWE.
1PETRO 3:1 (imeandikwa) Kadharika ninyi wake, watiini waume zenu...
Smile heals
N yumbani
D aima
O mbeni
A mani
By Mtumishi Gerald Robert
Buku ni kubwa mno FF,yaani chapter 20 zote hizo za nini?
Bora kingekuwa cha riwaya za kipelelezi ningesoma bila ya tatizo.
Hicho kitabu kizuri sanaaa nilipewa nikiwa mdogo na mtu ninayemheshimu baada tu ya kutahiriwa.Vijana, mara kwa mara huwa nnawaambia someni hiki kitabu, kitawasaidia sana:
The Perfumed Garden Index
Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa