kumbe mwita ndo maana ni mtata kumbe ni hiyo issue ya mamake inamsumbua?leo kakiri wanaume mpeni ushauriyaani hafai kabisa kuitwa binadamu mtu wa dizaini hii.
keshaombewa msamaha ila amekera kweli
Ha ha ha! Pole ndio ujue wamama wanapata shida sana kutulea mpaka tupate akili za kibinadamu...tena bora huyo aliyejipaka kopo zima ataogeshwa atakate, mwingine angekula kabisa...lol. Kulea kazi jamani we acha tu Yo Yo. Ukisikia kulea mimba sio kazi, kazi kulea mwana ujue ndio ukweli khalisi..Mimi huwa na imagine jinsi gani wakina mama walivyo na shughuli wakiwa kwenye heka heka za kule watoto....juzi nilikwenda kwenye nyumba ya ndugu yangu mmoja ana watoto wadogo.....sasa akaniambia aniachie watoto anatoka kidogo.......trust me ...nilikaa na wale watoto nusu saa nusura niwehuke kwa kupigizana nao kelele.....mara huyu kashika hiki mara mwingine kakimbilia bafuni..mara mwingine keshajipaka kopo zima la mafuta...
...kwa kifupi ni heka heka tosha.....ni heshima kwao kwa kweli kukaa na kulea mtoto mpaka anakuwa na akili ya kujitambua....hawa watu jamani hakuna zawadi inayowafaa zaidi ya kuwaheshimu......
daaaaah aisee hadi chozi limenitokanapenda kuwapa heshima ya hali ya juu wanawake woote popote walipo duniani no matter what..hawa ni mama,dada.shangazi,bibi zetu.halipingiki mama zetu ni wavumilivu na wametutoa mbali wanahitaji heshima ya hali ya juu toka kwetu hasa wanaume.
ukiona picha hii tafadhali kama mama yako yuko hai mpigie simu na kumtakia hali.
Napenda kuwapa heshima ya hali ya juu wanawake woote popote walipo duniani no matter what..hawa ni mama,dada.shangazi,bibi zetu.Halipingiki mama zetu ni wavumilivu na wametutoa mbali wanahitaji heshima ya hali ya juu toka kwetu hasa wanaume.
Ukiona picha hii tafadhali kama mama yako yuko hai mpigie simu na kumtakia hali.
hamna aliewapinga wababa mbona ? Tunawaheshimu nao ila ya kaisari mpe kaisari bwananaipinga hoja mkono.
Pamoja na kuungwa tiki na wachangiaji kibao hoja imekua ni ya kama ya kutoona sie wanaume ni mafisadi wa jinsia mwenza!
Nani atanikanusha kwamba hata akina baba wamezitoa mbali familia zao.
Ni akina mama wangapi wanatupa vichanga vyooni na dampo'z ?
Lini ulimsikia baba ama akiwa pekee au kashirikiana na mkewe kutupa mtoto ?
Si ni juzi tu vingunguti mwanamke kamtumbukiza kisu mwanaume na kumuua.
Sifia both sides bwanaa! Kama ukatili baadhi wanawake/wanaume wanao.
Na walio na maadili kila gendar wapo.
Acheni kujilimbikizia kupeana shavu kinyinyi tu! Na sie twastahili shavu pia.
hamna aliewapinga wababa mbona ? Tunawaheshimu nao ila ya kaisari mpe kaisari bwana
yamekuwa hayo mkuuSmile ! Mtake msitake mtatuheshimu! Kama sie tunavyohewaheshimu ninyi ! Kukizungusha kiu*o tumezungusha wote vipi tusiheshimiane? Sema ka'element kaubaguzi mnako!
Wanaokataa mimba na kutelekeza watoto ni wanawake ehhh? Wanashurutisha wake/wapenzi wao wakatoe mimba ni wanawake ehh?Naipinga hoja mkono.
Pamoja na kuungwa tiki na wachangiaji kibao Hoja imekua ni ya kama ya kutoona sie wanaume ni mafisadi wa jinsia mwenza!
Nani atanikanusha kwamba hata akina Baba wamezitoa mbali familia zao.
Ni akina mama wangapi wanatupa vichanga vyooni na dampo'z ?
Lini ulimsikia Baba ama akiwa pekee au kashirikiana na mkewe kutupa mtoto ?
Si ni juzi tu Vingunguti mwanamke kamtumbukiza kisu mwanaume na kumuua.
Sifia both sides bwanaa! Kama ukatili baadhi wanawake/wanaume wanao.
Na walio na maadili kila gendar wapo.
Acheni kujilimbikizia kupeana shavu kinyinyi tu! Na sie twastahili shavu pia.