Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 360
- 630
mimi tangu auze bandari na misitu yetu kwakweli heshima yangu imepungua, sitakuja kumpigia kura 2025. bora nipigie kura hata jiwe wakimshindanisha nalo. hata akitokea Bambo amegombea chama kingine nitampigia bambo au hata joti kuliko huyu mama.
Isemee nafsi yako unayoweza kuitetea, usisemee mtuHatumtaki
Si dhani kama hata unafamilia ndugu yangu.Ndugu urais sio mgumu hata kidogo kwenye hizi nchi za kiafrika! Stop overrating things
mimi ni mwanasheria, umeingizwa king na hujui kama umeingizwa king.Sikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania
Naogopa kusema Mh Adv Mwakabusi alikosea. Binafsi sikupata muda wa kuusoma huo mkataba ila nilizisoma Arguments za Adv Mwakabusi na niliona zinamashiko sana. But nimepata muda nimeusoma huu mkataba kati ya Serikali ya Falme za Kiarabu ya Dubai na ambao wanaitwa "State parties" ndani ya mkataba...www.jamiiforums.com
Soma Uo uzi , ili uone kabisa kama bandari imeuzwa au haijauzwa
Tulia ww hujui chochote RAIS ni taasisi wapo wasaidiz kwenye kila jukumu maelfu na maelfuSi dhani kama hata unafamilia ndugu yangu.
Kwa wale wenye familia mnisaidie mana nyie ni viongozi pia.
Kuongoza familia ni Rahis sana e ?
Husoma ,then sema Nyuzi haina ukweli au ni ukweli mtupu.Chawa wamechachamaa sana, kila mara wanaleta nyuzi za kichawa. Huu ujumbe ni wa kichawa unaonekana wazi
Hata mke ni msaidizi pia , Ila yeye anasubiri mwongozo kutoka kwako. Na anakutegemea wew.Tulia ww hujui chochote RAIS ni taasisi wapo wasaidiz kwenye kila jukumu maelfu na maelfu
Urais ni taasisi. Yeye ni kiongozi mkuu na msimamizi wa taasisi. Ndio maana kuna watendaji lukuki walio chini yake wanaomsaidia kutimiza hayo yote uliyoyasema. Sasa kama anajifanya one man show, au hafuatilii watendaji wake kwa usahihi, ndio tatizo linapokuja. Kwa hiyo acha kumsifia, yeye ni msimamizi wa shughuli zote za nchi na sio lazima afanye kila kitu peke yake.Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa,
-unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.
Uongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya
- Ufanye maendeleo katika uongozi wako
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.
-Unawza kufanyia kazi maoni ya wananchi.
-unawaza usalama wa Nchi.
- Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.
- utekeleze sera na Ilani ya chama chako
-Ushirikiano wa na nchi nyingine
- yani kila kona ya hii nchi inataka ufanye jambo litakalo wanufaisha.
Alafu kuna mtu ametenga bajeti ya mamilioni ya pesa ili kukuchafua nchi nzima, kwamba wew ni Nothing.
Hata pale unapofanya jambo Ili uyatimize majukumu yako vyema, bado watu wanakufata fata.
Haya Nyie mmewahi toa hata kibaba kimoja kwa masikini?
Hata kuzitembele kaya masikini mmewahi?
Hata charity hakuna.
Tangu mmeanza Siasa za upinzani mmewahi hata kujenga shule ya msingi? Hata darasa moja tuseme hili lilijengwa na Chama Flani basi, Hakuna.
Mnataka kuweka mafuta magari mzunguke nchi nzima majukwaani mkieneze Chuki na Matusi,.
Hebu kuweni na huruma na Ustaarabu [emoji23][emoji1488]
Bwashee bandari imeuzwa, tena imeuzwa bureeeeeeSikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania
Naogopa kusema Mh Adv Mwakabusi alikosea. Binafsi sikupata muda wa kuusoma huo mkataba ila nilizisoma Arguments za Adv Mwakabusi na niliona zinamashiko sana. But nimepata muda nimeusoma huu mkataba kati ya Serikali ya Falme za Kiarabu ya Dubai na ambao wanaitwa "State parties" ndani ya mkataba...www.jamiiforums.com
Soma Uo uzi , ili uone kabisa kama bandari imeuzwa au haijauzwa
yaani hadi rais wake amestuka, yeye hajastuka tu.Bwashee bandari imeuzwa, tena imeuzwa bureeeeee
Hasimamii Watu 15 , Ni watu Million 60 naUrais ni taasisi. Yeye ni kiongozi mkuu na msimamizi wa taasisi. Ndio maana kuna watendaji lukuki walio chini yake wanaomsaidia kutimiza hayo yote uliyoyasema. Sasa kama anajifanya one man show, au hafuatilii watendaji wake kwa usahihi, ndio tatizo linapokuja. Kwa hiyo acha kumsifia, yeye ni msimamizi wa shughuli zote za nchi na sio lazima afanye kila kitu peke yake.
-unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.(Pumba) sio jukumu lakeHata mke ni msaidizi pia , Ila yeye anasubiri mwongozo kutoka kwako. Na anakutegemea wew.
Hao ma elfu wanataka mishahara na uwapangie majukumu, Yao Maelfu
kama hawezi, kama anaona ni kazi ngumu, si aondoke, wapo watz ambao hiyo kazi ni ndogo sana kwao.Hasimamii Watu 15 , Ni watu Million 60 na
chawa mnazidisha sana sifa mpaka mnaonekana wazi mnajikombaHusoma ,then sema Nyuzi haina ukweli au ni ukweli mtupu.
Unang'ang'ania ni uchawa, niliyoya andika hamuhusu Rais kwani?
Kwa maana hiyo basi tusiwe tunamlaumu Rais kwa lolote. Mana kw maana yako hana Jukumu sasa.-unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.(Pumba) sio jukumu lake
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.(Pumba) sio jukumu lake
-unawaza usalama wa Nchi.(Kwa tishio gani?)
- Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.(Pumba) sio jukumu lake
- utekeleze sera na Ilani ya chama chako(Swala la serikal nzima)
-Ushirikiano wa na nchi nyingine(Sio jambo la kuwaza)