Heshima kwa Brothers mliooa na mnaishi kwa upendo, amani na furaha katika ndoa zenu

Wasalaam Wakuu,

Basi tu nimeamka nawafikiria bros mliooa na mpo kwenye ndoa muda mrefu na ndoa zenu bado zina furaha na amani, heshima kwenu.
Ongezea hongera kwetu sisi mabros ambao tunaishi vyema na wake zetu na tuna mpango wa kuongeza mke wa tatu na wanne. Tupe hongera tena na tena.
 
Ndoa kwa kweli, siyo kuona mrembo na kumkimbilia, inahitaji kuangalia sana tena kwa kina. Mimi ndoa yangu ina miaka 11 ila utadhani tumeoana jana. Sio kwamba hatungombani la, tunagomba yanaisha. Napenda kumwita mke wangu mrembo vipi. Ila nimezoe tu. Naona mambo ni mazuri.
 
Wasalaam Wakuu,

Bros mlio kwenye ndoa zaidi ya miaka mitano na leo hii mkipiga simu kwa wake zenu, wawe peke yao au kwenye kundi la watu, wanapokea na kusema hello Mume wangu au Baba flani. Na sio kusema halooo habari ya saa hizi, hata kama hamjaongea toka asubuhi....Heshima kubwa kwenu wazee.
Kuna mwana saikolojia alisema ili haya yawezekane lazima mooja ya wanandoa awe mtumwa au hana akili timamu
 
Zamani nilikua naona wazazi wetu ni kawaida tu wako wote mpaka uzeeni

Lakini sasa nmekua acha nikuunge mkono kuwapongeza hata waliofika miaka 5 na bado wako vizuri

Hii taasisi ya ndoa sio mchezo
Joseverest
 
Ndoa zenye heshima zipo nyingi sana.
Ni zile ndoa ambazo mtu alimuoa mke wake halisi.
Sio hizi za kuoana kisa ana utajiri ama kazi nzuri, ama kisa mke ni byuti byuti upate sifa kitaa
1/10.
Kabla ya kuolewa ni malaika baada ya kula mkataba hakuna rangi utaacha kuiona.
Kinacholeta shida sahizi wanataka 50/50 ndo mana wanapata shida sana.
Dada poa wanajitahidi sana kuendelea kuokoa ndoa nyingi.
Kwa sasa kuoa wengi wanawaza mara 100.
 
50 / 50 kwenye mambo yasiyohusiana na pesa.. swala la kuhudumiwa hawataki 50 / 50
 
Maombi, dua na sadaka kwa wengine ndio zinatupa kinga na ulinzi kutoka kwa Mungu kutufichia madhaifu yetu.
 
1/10.
Kabla ya kuolewa ni malaika baada ya kula mkataba hakuna rangi utaacha kuiona.
Kinacholeta shida sahizi wanataka 50/50 ndo mana wanapata shida sana.
Dada poa wanajitahidi sana kuendelea kuokoa ndoa nyingi.
Kwa sasa kuoa wengi wanawaza mara 100.
Na bila kuwaza vizuri basi labda Mungu akuwekee mkono wake.....Ndoa ni asali na ni mwiba pia
 
Back
Top Bottom