Heshima kwa baba

Heshima kwa baba

.
IMG_20191026_135630.jpeg
 
Hajatumia akili,angembeba huyo mtoto kisha wakajikinga wote.
 
Dunia ya LEO wababa tuna upendo kwa watoto zetu kupita hata kina mama

mkibisha siwalazimishi.
 
Au anakula nyama bar watoto home wanakula dagaa.

Dagaa ni wazuri sana kwa watoto mkuu in case you did not know. Husaidia ukuaji bora wa ubongo kwa watoto. Ila ujumbe wako umefika sawia.
 
Dagaa ni wazuri sana kwa watoto mkuu in case you did not know. Husaidia ukuaji bora wa ubongo kwa watoto. Ila ujumbe wako umefika sawia.

Natambua, ila ulikuwa mfano maana kwa kawaida watoto(hata watu wazima wengi) hawapendelei dagaa.
 
Back
Top Bottom