Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Mara nyingi huonekana Mama ila na baba amejitahidi.View attachment 1244704
😅😅😅 huwa nashangaa sana ujue Dada.Sio wababa wa kiafrika wanaokula mapaja ya kuku halafu watoto wala vipapatio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au anakula nyama bar watoto home wanakula dagaa.[emoji28][emoji28][emoji28] huwa nashangaa sana ujue Dada.
Wabadilike kwa kweli.Au anakula nyama bar watoto home wanakula dagaa.
Kwendraaaaa[emoji57][emoji57]Sio wababa wa kiafrika wanaokula mapaja ya kuku halafu watoto wala vipapatio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara nyingi huonekana Mama ila na baba amejitahidi.View attachment 1244704View attachment 1244705
BTW ulipotelea wapi?Wabadilike kwa kweli.
Kwendraaaaa[emoji57][emoji57]
Nipo ndugu yangu nadhani tunapishana tu.BTW ulipotelea wapi?
Ndii hawa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]
Achana na mimi[emoji57][emoji57] sipo hivyo unavyodhani
Sorry chiefKwani nilikuoa lini?
Mtoto hawezi kumaliza paja[emoji23]Sio wababa wa kiafrika wanaokula mapaja ya kuku halafu watoto wala vipapatio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Dingi hapa katufelisha Wanaume......
Kwanini asimbebe Dogo na wote wakajifunika na Mwamvuli!