Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,200
Numbers never lie.

Kwa anayefuatilia siasa za Arusha Mjini, atagundua kuwa Mollel ana mtaji wa kura zisizopungua 65,000 (kura alizopata Magufuli jimboni humo. Hizo kura ni za CCM ije mvua au jua.

Licha ya kuwa Lowassa alipata kura zaidi ya 150,000. Nusu ya wapiga kura hao ni washirika wa Mollel (najua unajua ninachokimaanisha).

Mpaka hapo Lema ahesabu maumivu, nyomi anayoiona ni maembe ya kupandikizwa, nje jekundu ndani kijani.

Monaban Atosha Arusha.
 
Ndio maana lema anatafuta kick ya vurugu lakini polisi wameshamstukia
 
Mnajidanganya,labda mfanye Jecha formula au mlivomfanyia lowasa.kata zote chadema sasa unategemea nn hapo?mtaona.
 
Hahahahahaha!kwa jimbo la arusha mjini lema ndo atashinda
 
MiCCm mtambueni Ar.sio Mtwara. Mnaweza sababisha kitu ambacho hamtaamini macho yenu na kikasambaa nchi nzima.Msijaribu kuiba. Acheni kabisa. Mtawasha kiberiti.
 
Mnajidanganya,labda mfanye Jecha formula au mlivomfanyia lowasa.kata zote chadema sasa unategemea nn hapo?mtaona.
very contradicting msg, isome tena msg yako halafu kama kweli wewe ni great thinker jikosoe!maana ccm wana wabunge weeeengi.is that a formula inayo apply kwa ukawa/chadema tu
 
Huhitaji kuwa na akili kubwa kura 600 za urais akapatikana diwani mmoja hapo mbunge aibuke shujaa ,
 
Pole sana mkuu kwa kuwa wewe ndio mpiga kura hizo 65,000 basi Huyo mccm mwenzio atapata
 
Ndio maana Lema anahaha kurejesha umaarufu wake kwa kutukana vyombo vya dola na viongozi wake. Wamemchunia sasa ili asimame kwa miguu yake mwenyewe
 
Kwani kura zinapigwa na madiwani?
Kweli unapenda namba ila hesabu hujui!! Magufuli unasema alipata kura ngapi arusha? Je ccm ilipata madiwani wangapi? Weka pembeni,haya mgombea wa chadema alipata kura ngapi? Madiwani wangapi? Sawa!! Sasa usiumize kichwa,wapiga kura ni walewale, na hesabu ni zilezile,waliochagua madiwani ndiyo watakaochagua mbunge,upo hapo? Na mbaya zaidi ni kuwa kuna watu kadhaa ambao walimpigia kura magufuli ila hawaipendi ccm kabisa,kwa hiyo kura zao hamtazipata this time kwa sababu magufuli hagombei ubunge arusha, Dont ever bet a coin for this,itakula kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom