Hesabu za Mlevi

Hesabu za Mlevi

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla.

Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800)

Tuseme gharama za uzalishaji ni 300, hivyo 500 ni faida.

Kwa siku makadirio ya chini ni kuuza mahindi 100, hivyo unapata faida ya 500 × 100 = 50,000.

Elfu hamsini kwa siku saba za wiki maana yake kwa mwezi ni milioni 1.4.

Ukipata hiyo, unanunua pikipiki Boxer ya mtumba kali sana. Baada ya hapo utampa mtu wa mkataba, kila jioni anakuleta 10,000.

Hiyo 10,000 ya bodaboda huigusi kabisa, unaiweka kwenye kibubu kama ilivyo!

Kwa mwaka mzima inakuwa= 10,000 × 365 = 3,650,000.

Ukipata hiyo milioni tatu na ushei ukijumlisha na faida za kwenye mahindi, unanunua Toyota Vits ya mtumba inakuwa UBER/Bolt. Unachana na kuchoma mahindi unafanya biashara ya UBER/Bolt.

Tukutane tena wakati mwingine!
 
Kweli hii ni hesabu ya mlevi... Vipande vitano kwa mia mbilimbili ni Tsh 800?

Haya kama umeununua sokoni gharama za uzalishaji zinatoka wapi tena?
 
Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla.

Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800)

Tuseme gharama za uzalishaji ni 300, hivyo 500 ni faida.

Kwa siku makadirio ya chini ni kuuza mahindi 100, hivyo unapata faida ya 500 × 100 = 50,000.

Elfu hamsini kwa siku saba za wiki maana yake kwa mwezi ni milioni 1.4.

Ukipata hiyo, unanunua pikipiki Boxer ya mtumba kali sana. Baada ya hapo utampa mtu wa mkataba, kila jioni anakuleta 10,000.

Hiyo 10,000 ya bodaboda huigusi kabisa, unaiweka kwenye kibubu kama ilivyo!

Kwa mwaka mzima inakuwa= 10,000 × 365 = 3,650,000.

Ukipata hiyo milioni tatu na ushei ukijumlisha na faida za kwenye mahindi, unanunua Toyota Vits ya mtumba inakuwa UBER/Bolt. Unachana na kuchoma mahindi unafanya biashara ya UBER/Bolt.

Tukutane tena wakati mwingine!
Na mlevi mwenyew ndo wewe😅😅
 
Vipande 5 huo muhindi ni mrefu kiasi gani?? Kikawaida muhindi mzuri unatoa vipande 3 ukibana Sana 4
 
Back
Top Bottom