Hesabu za gizani za Membe

Hesabu za gizani za Membe

Membe sio mjinga kivile, anaweza akatengeneza zengwe ,au "akanogesha "uchaguzi mkuu wa October kwa kumpunguzia Magu wingi wa kura,kwa asili mia kubwa ili kumkata makali ya kujiamini.

Kwake majungu na fitina za kisayansi anayaweza kama jasusi mkongwe.Akiamua kujiongeza kwa kutumia mbinu za medani na fedha ya matajiri ni wazi atakidhalalisha chama cha Mapinduzi vibaya sana,japo Magu atatangazwa mshindi.
CCM wameshindwa kumpoza Membe mapema kabla ya uchaguzi.
Huo ujasusi anaufanyia twiter? Huo ujasusi ulishindwa kumsaidia kutimuliwa ndani ya ccm?
 
Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nn ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
XQ7948VT Imethibitishwa, umepokea 7,000 kutoka Lumumba.
Salio lako Ni 7,800.
Vdacom yajayo yanafurahish!
 
Kasema lolote laweza kutokea June hadi October.
Kwanini anajiamini sana?
Namnukuu Membe akihojiwa na Dw :
"lolote kinaweza kutokea kati ya june na oktoba,!"
"nisipopata haki yangu ya kugombea ndani ya ccm ntaitafuta nje ya ccm"
"unaweza kupanda bus toka mtama kwenda dar lakini ukishushwa njiani utapanda hata bodaboda kufika unakokwenda"

Kwa kauli hizo za Membe unaona kabisa ni mtu ambae plan B yake ni kwenda kugimbea kupitia upinzani na hapa ni ACT au CHADEMA,
Nafikiri mpaka hapo umeona ujasusi wa Membe ni useless kama ule wa Lowasa 2015.
 
Hatujui anataka kufanya nini?
 
Nitaona
Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nn ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Nitaona ajabu na kusikitika Sana iwapo ACT Wazalendo watamchukua Membe kwa sababu watu wanaotokea CCM siku zote wanachafua na baadae kurejea Tena CCM. ACT wasifanye kosa Hilo.
 
Mpaka hapo hujui kama Membe hana nafasi ndani ya ccm na ili agombee lazima aende upinzani ambako ataambulia hewa?
Yule lengo lake kuu lilikuwa kuwa Raisi wa sita wa Tanzania.Lakini akiona CCM wanamzenguwa ataliamsha au Kunuka.
 
Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nn ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Kisini membe hana ushawishi kama wa majaliwa...
 
Kama Hayati Mwalimu Nyerere alivyosema.
Tukiiacha CCM peke yake kutawala Inchi bila kuwa na vyama Imara vya Upinzani , itakuwa legelege.
Kikatiba Vyama vya Siasa bila kujali mgombea wao wa Uchaguzi ameshinda urais au la viko kwenye uongozi wa Inchi.
Hulka ya vyama vyetu vya Siasa ni kuwa viko kwa ajili ya mgombea wao wa Urais kwenda Ikulu.
Ikulu kuna nini, Ikulu ni matatizo tu, Ikulu siyo pango la walanguzi ( Mwalimu Nyerere).
Kwa sababu hii Membe asiende upinzani kwa sababu kuu ya kwenda Ikulu ila aende upinzani ili ashiriki katika kuiongoza Inchi na kuimarisha upinzani.
Kama ilivyosemwa na mchangiaji moja, mtu mwenye akili nyingi hutafuta kutatua tatizi bali mtu mwenye busara hutafuta namna ya kujiepusha na tatizo. Lakini kwa ujumla mtu aliyekamilika zaidi ni mtu mwenye Hekima na Busara kwa sababu huyu hutatua tatizo kwa kumshirikisha Mungu.
Kuna wakati Fulani Mwalimu Nyerere alitembelea mkoa wa Singida, Mtu moja akiwa na rafiki yake akamtukana Nyerere kwa Kinyaturu (matusi ya nguoni).
Huyu rafiki akafanya bidii kumwona Nyerere kupitia kwa Mkuu wa Mkoa ili amwaimbie siri kubwa ambayo asingemwambia mtu yeyote.
Aliruhusiwa kumwona Nyerere na anakamwambia jinsi alivyotukanwa na rafiki yake.
NYERERE alicheka sana na kumwambia yule mtu " Mimi natukanwa kila siku, ungeniambia kuwa huyo rafiki yako anataka kuniua au kupindua Inchi ningefanya uchunguzi"
Hawa akina Makamba, Membe, January , Kinana, Nape na wengine walikuwa wanamtukana Rais.
Cha maana ilikuwa ni kuwaita na kuwapuuza kwa sababu ni wengi wanaomtukana bila yeye kujua.
Hata Yesu Kristo alitukanwa na kutemewa mate lakini hakutuoa adhabu yoyote kwa wabaya wake ila aliwaombea kwa Mungu awasamehe kwa sababu walikuwa hawajui watendalo.
 
Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.

Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.

Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.

Kwa nini ACT na Sio Chadema

Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.

Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.

Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.

Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.

Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.

Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.

Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.

Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.

Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.

Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.

All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Alianza vizuri bandiko lako, Baadae mwishoni umemaliza na "UHARO "
 
Tanzania tunautamaduni wa kila awamu na chama chake kikuu cha Upinzani,

awamu ya Mwinyi tulikua na NCCR,awamu ya Mkapa tulikua na CUF na awamu ya Kikwete tulikua na CHADEMA , kwa awamu ya Magufuli basi atakua ACT.

hesabu ndogo tu hizi Mkuu
Huo utaratibu uliwekwa na nani?
 
Hivi NCCR Mageuzi ya mbatia ina nguvu gani kiasi icho? mbona mnaikuza sana
Kwa sababu waheshimiwa waliahidi kuibeba.... bunge lijalo ili kiwe chama kikuu cha upinzani kisichohoji chochote wala lolote!
Maisha yanakwenda kasi sana...
 
Mahesabu mabaya na kama anamtaji wa fedha anataka azichezee kama alivyofanya EDDO.
HATOPATA ANACHOTAKA KUPATA labda kama ni kazi maalum.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom