Hesabu za familia sifanyagi mie...

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,166
ENZI IZO NASOMA SEKONDARI
Mwalimu alikua anapenda leta hesabu za familia unakuta hesabu inasema.

John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri wa..
1. john
2. Baba
3. Mama

Hilo swali nilikuwa naliruka...Sio kwamba nilikuwa siliwezi ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za watu. :D:D
 
Si ungemwambia huyo mwalimu akaiulize hiyo familia ya John badala ya kukusumbua wewe, hahahah
 
Back
Top Bottom