HESABU ngumu sana Kwa Wanasiasa

HESABU ngumu sana Kwa Wanasiasa

Mkuu, naomba nikukumbushe kitu. Muungano wa Tanzania unafanana na iliyokuwa Soviet Union (USSR).Kipindi kile Sovereign republics zote zilizokuwa zinaunda Soviet Union zilikuwa na viongozi wa juu na katiba zao isipokuwa Russia. Sababu ilikuwa kwamba Russia ndiye aliyekuwa mhimili ya Soviet Union. Siku Russia walipodai nao kuwa na rais wao, enzi hizo marehemu Boris Yeltsen, Rais wa Soviet Union (Mikhail Gorbachov), akawa hana nguvu japo alikuwa na mamlaka makubwa. Na ndiyo sababu ya kujiuzuru na kufa kwa USSR.Kwa mfano huu, kwa kuwa Tanganyika ni mhimili wa Tanzania, siku Tanganyika ikipata kiongozi wake mkuu, yenyewe ndiyo itakayokuwa ina-dictate kila kitu. Kiongozi wa Tanzania japo atakuwa na mamlaka makubwa lakini atakuwa hana nguvu, na ndio utakuwa mwisho wa uwepo wa nchi ya muungano inayoitwa Tanzania. Huu ni mfananisho tu wa kihistoria na si utabiri.
.

, Wasovieti waliketi Na Muunganiko wao miaka Sita tu.. Hakuna Muunganiko maruweruwe.. Kama hao waasisi Wa Marxism mambo yaliwashinda nashangaa ungwinini Enzi zile watu wanasoma mavolume Na mavolume ya huyo jamaa aliyeshindwa, Sijui Kama Bado Leo hii wanamsoma. Ni ajabu sana wanafilosophia walioishi ulimwengu wa kiza, ulimwengu wa farasi, ulimwengu wa saa Za Mchanga, ati mawazo Yao tunalazimisha yaongoze ulimwengu huu wa dijitali.. Hivi binaadam tumegoma kufukiri kiasi hiki.
??
 
Mkuu, ni Usovieti upi uliodumu kwa miaka sita?
 
Tulishakubaliana

Tokea darasani Kwamba hesabu ni maisha, maisha ni hesabu. Lini ikapita siku ukaimaliza pasipo kufanya hesabu? Kama hujanunua kitu, hujahesabu fedha,watu&vitu Bado siku haijaisha. Hata Mtu ambaye hajakanyaga kitu darasa automatic anajikuta akipambana Na mazingira ya hesabu daily.. Lakini nashangaa sana watu hesabu rahisi zinawachanganya..

Neno MUUNGANO linatokana Na neno la lughaflanhivi "UNION" au "U" . Na kuna hesabu rahisi Zake za seti Za vitu au namba. Hebu ona

Ukipewa seti mbili A Na B Kwamba :-

A = {a,c,f}
B = {a,b,d,e}

Ukaulizwa swali tafuta MUUNGANO wa Seti A na Seti B, walituambiaga tunaandika (AUB) utapata kitu hii..

(AUB) = {a,b,c,d,e,f} = (u).

MUUNGANO wa seti hizi mbili unazaa SETI mpya moja (u). Ni Kazi ngumu ya kiendawazimu Kama Mwalimu atauliza akikupatia seti (u) peke yake akakwambia tafuta iliyokuwa SetiA Na SetiB, ni kitu kisichowezekana.

Labda hesabu ngumu twende Kwenye kemia, MUUNGANO ni SOLUTION.. Two soluble compound dissolve to form a single state solution. Mfano sukari na Maji, ukichanganya unapata kimiminika kipya kimoja. Ni Kazi kubwa Na ngumu kutenga tena sukari Na Maji . Wanakemia walitumia mifumo(analysis) (volumetric & qualitative) kujaribu kugundua viasili vya muungano Wa kimiminika flan wakaishia kusema labda(probably) kulikuwa na sukari kiasi flan Na Maji lakini SIO halisia.

Kwanini natumia semi hizi, kuna vitu vya UONGO tumeviamini Na kuviishi kwa miongo takriban mitano sasa Yaani from 1864. Kuna kitu kilichobatizwa Kwa Jina la Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar ikazaliwa Tanzania. Ndugu zangu watanzania, nachukua fursa hii kupiga mbiu, tutokeni usingizini. Tusitishe fikra hizi sasa, huo wa 1964 hauwezi kuitwa Muungano. TANZANIA HAKUNA MUUNGANO HILI LIWE WAZI KABISA. Tunaweza kugombana sana, tukatafutana ubaya, tukanyosheana vidole Na kuoneana ubaya bure. Tutazogoana mwanzo-mwisho, tutausema Muungano vibaya au vizuri. Tunapigana Na tusichokiona, tunashambulia hewa, kimsingi HATUNA MUUNGANO. Ni Muungano wa wapi iwapo kipande kimoja Cha Nchi Bado Kina serikali?. Sitaki kuingia Kwenye mamia ya changamoto Za kitu kinachoitwa muungano Maana HAKIPO. Tukiendelea kuamini hivi tutaumizana pasipo Sababu. Kama Muungano ungekuwepo Basi Zanzibar Leo ingekuwa mkoa tu wa Tanzania Kama ilivyo Iringa,Dodoma au Singida. Lakini sintofaham hizi zinatufanya tuabudu tusichokijua..

Mheshimiwa RAIS, mbali Na Changamoto zilizopo embu weka Jambo moja tu la Kihistoria katika UONGOZI wako, TULETEE MUUNGANO TANZANIA. Yaani Tanzania(tanganyika + Zanzibar) Na Zanzibar I mean {[Tanganyika, Zanzibar] + Zanzibar } ziwe kitu KIMOJA sasa. Tuwe Na Tanzania Moja. Hakuna Cha serikali ya mapinduzi Wala serikali ya kipinduzi. Nchi iwe moja, Jina Liwe Moja. Tuacheni Complication zaidi. Umaskini wenyewe umeshatutafuna Bado tutafunwe tena Na zigo la maserikali mengi tutapona kweli??!?. Tuacheni ujinga. Tuundeni Muungano SIO kiinimacho Kama Wazee wetu walivyotulazimisha tuamini. Sisi vijana tuna mustakabali Mkubwa Kwa Taifa letu, Young people MAY die but old one MUST die. We must Protect our people and our nation

Tuwe Taifa Moja, Serikali Moja, Bunge Moja, Jeshi Moja, Sarafu Moja.

Libarikiwe Taifa hili.

Na rais mmoja?
 
Serikali tatu ni fumbo kubwa sana,binafsi hii hoja kupitishwa na tume naiona kama vile ni hatua kubwa sana ya kipimo cha uzalendo.Hapa naona hesabu hii rahisi wamewachia watanzania wenyewe waamue nini cha kufanya kwani hesabu hiyo ni je
a). 1+1=2?
b). 1+1=3?
c). 1+1=1?
d).Kwanini jibu ni "a" , "b" au "c"?
d).Nini muundo wake kama jibu ni "a" ,"b" au ,"c"?

My take: 1+1=1 (mistari miwili iliyo sambamba kamwe haikutani na unapojaribu kuikutanisha kutoka umbali uliopo kati yao unapata mstari mmoja mmyoofu).Hii inawezekana tu iwapo vikwazo vyote vitabashiriwa kama havipo.
 
Tulishakubaliana

Tokea darasani Kwamba hesabu ni maisha, maisha ni hesabu. Lini ikapita siku ukaimaliza pasipo kufanya hesabu? Kama hujanunua kitu, hujahesabu fedha,watu&vitu Bado siku haijaisha. Hata Mtu ambaye hajakanyaga kitu darasa automatic anajikuta akipambana Na mazingira ya hesabu daily.. Lakini nashangaa sana watu hesabu rahisi zinawachanganya..

Neno MUUNGANO linatokana Na neno la lughaflanhivi "UNION" au "U" . Na kuna hesabu rahisi Zake za seti Za vitu au namba. Hebu ona

Ukipewa seti mbili A Na B Kwamba :-

A = {a,c,f}
B = {a,b,d,e}

Ukaulizwa swali tafuta MUUNGANO wa Seti A na Seti B, walituambiaga tunaandika (AUB) utapata kitu hii..

(AUB) = {a,b,c,d,e,f} = (u).

MUUNGANO wa seti hizi mbili unazaa SETI mpya moja (u). Ni Kazi ngumu ya kiendawazimu Kama Mwalimu atauliza akikupatia seti (u) peke yake akakwambia tafuta iliyokuwa SetiA Na SetiB, ni kitu kisichowezekana.

Labda hesabu ngumu twende Kwenye kemia, MUUNGANO ni SOLUTION.. Two soluble compound dissolve to form a single state solution. Mfano sukari na Maji, ukichanganya unapata kimiminika kipya kimoja. Ni Kazi kubwa Na ngumu kutenga tena sukari Na Maji . Wanakemia walitumia mifumo(analysis) (volumetric & qualitative) kujaribu kugundua viasili vya muungano Wa kimiminika flan wakaishia kusema labda(probably) kulikuwa na sukari kiasi flan Na Maji lakini SIO halisia.

Kwanini natumia semi hizi, kuna vitu vya UONGO tumeviamini Na kuviishi kwa miongo takriban mitano sasa Yaani from 1864. Kuna kitu kilichobatizwa Kwa Jina la Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar ikazaliwa Tanzania. Ndugu zangu watanzania, nachukua fursa hii kupiga mbiu, tutokeni usingizini. Tusitishe fikra hizi sasa, huo wa 1964 hauwezi kuitwa Muungano. TANZANIA HAKUNA MUUNGANO HILI LIWE WAZI KABISA. Tunaweza kugombana sana, tukatafutana ubaya, tukanyosheana vidole Na kuoneana ubaya bure. Tutazogoana mwanzo-mwisho, tutausema Muungano vibaya au vizuri. Tunapigana Na tusichokiona, tunashambulia hewa, kimsingi HATUNA MUUNGANO. Ni Muungano wa wapi iwapo kipande kimoja Cha Nchi Bado Kina serikali?. Sitaki kuingia Kwenye mamia ya changamoto Za kitu kinachoitwa muungano Maana HAKIPO. Tukiendelea kuamini hivi tutaumizana pasipo Sababu. Kama Muungano ungekuwepo Basi Zanzibar Leo ingekuwa mkoa tu wa Tanzania Kama ilivyo Iringa,Dodoma au Singida. Lakini sintofaham hizi zinatufanya tuabudu tusichokijua..

Mheshimiwa RAIS, mbali Na Changamoto zilizopo embu weka Jambo moja tu la Kihistoria katika UONGOZI wako, TULETEE MUUNGANO TANZANIA. Yaani Tanzania(tanganyika + Zanzibar) Na Zanzibar I mean {[Tanganyika, Zanzibar] + Zanzibar } ziwe kitu KIMOJA sasa. Tuwe Na Tanzania Moja. Hakuna Cha serikali ya mapinduzi Wala serikali ya kipinduzi. Nchi iwe moja, Jina Liwe Moja. Tuacheni Complication zaidi. Umaskini wenyewe umeshatutafuna Bado tutafunwe tena Na zigo la maserikali mengi tutapona kweli??!?. Tuacheni ujinga. Tuundeni Muungano SIO kiinimacho Kama Wazee wetu walivyotulazimisha tuamini. Sisi vijana tuna mustakabali Mkubwa Kwa Taifa letu, Young people MAY die but old one MUST die. We must Protect our people and our nation

Tuwe Taifa Moja, Serikali Moja, Bunge Moja, Jeshi Moja, Sarafu Moja.

Libarikiwe Taifa hili.
Labda mchungaji ungejaribu ile ya intersection, Hawa wanasiasa walifanya intersection wakaita union.
 
Tulishakubaliana

Tokea darasani Kwamba hesabu ni maisha, maisha ni hesabu. Lini ikapita siku ukaimaliza pasipo kufanya hesabu? Kama hujanunua kitu, hujahesabu fedha,watu&vitu Bado siku haijaisha. Hata Mtu ambaye hajakanyaga kitu darasa automatic anajikuta akipambana Na mazingira ya hesabu daily.. Lakini nashangaa sana watu hesabu rahisi zinawachanganya..

Neno MUUNGANO linatokana Na neno la lughaflanhivi "UNION" au "U" . Na kuna hesabu rahisi Zake za seti Za vitu au namba. Hebu ona

Ukipewa seti mbili A Na B Kwamba :-

A = {a,c,f}
B = {a,b,d,e}

Ukaulizwa swali tafuta MUUNGANO wa Seti A na Seti B, walituambiaga tunaandika (AUB) utapata kitu hii..

(AUB) = {a,b,c,d,e,f} = (u).

MUUNGANO wa seti hizi mbili unazaa SETI mpya moja (u). Ni Kazi ngumu ya kiendawazimu Kama Mwalimu atauliza akikupatia seti (u) peke yake akakwambia tafuta iliyokuwa SetiA Na SetiB, ni kitu kisichowezekana.

kiongozi hii si union ni intersection (n)

A={a,c,f}
B={a,b,d,e}
(AnB)={a} ndicho tunachokitafuta! hakuna kingne

ukweli tumebakiza serikali ya tatu kwasababu ya usalama wa mipaka ya Tanganyika na kwa zanzibar kwasababu ya kuwasaidia kiuchumi! hakuna zaidi
 
Hivi hakuna mtu hata mmoja anayeweza kutetea structure ya sasa ya muungano? Nyerere must have been crazy.

Sio kutetea tu, Hao wako wengi. Hoja niliyopanda nayo hapa jukwaani mara kadhaaa nimekuwa nikomba nipatiwe Faida na Hasara za muungano ili wengi tunaombiwa muungano una faida lakini hatuambiwi ni zipi tuzifahamu na tuweze kupambanua.
Otherwise Mpaka sasa binafsi naamini Hatuna muungano wa nchi mbili bali tulikuwa na muungano wa viongozi kwa maslahi wanayoyajua wao tena sio ya wananchi wa hizi nchi mbili zinazodaiwa zimeungana.
Hiki kinatuongezea mzigo walipakodi kulipa viongozi lukuki wanaokaa kwa kugawiana madaraka kwa kutawanya tawanya maeneo kwa maslahi yao.
Msimamo ni Either tuwe na Nchi moja na vingine vyote iwe mikoa, au wakishindwa kuiita mikoa watengeneze majimbo na zanzibar iwe mojawapo. La hasha muungano uvunjwe tuachiwe Tanganyika yetu na wazanzibari waendelee na maisha yao.
 
Tulishakubaliana

Tokea darasani Kwamba hesabu ni maisha, maisha ni hesabu. Lini ikapita siku ukaimaliza pasipo kufanya hesabu? Kama hujanunua kitu, hujahesabu fedha,watu&vitu Bado siku haijaisha. Hata Mtu ambaye hajakanyaga kitu darasa automatic anajikuta akipambana Na mazingira ya hesabu daily.. Lakini nashangaa sana watu hesabu rahisi zinawachanganya..

Neno MUUNGANO linatokana Na neno la lughaflanhivi "UNION" au "U" . Na kuna hesabu rahisi Zake za seti Za vitu au namba. Hebu ona

Ukipewa seti mbili A Na B Kwamba :-

A = {a,c,f}
B = {a,b,d,e}

Ukaulizwa swali tafuta MUUNGANO wa Seti A na Seti B, walituambiaga tunaandika (AUB) utapata kitu hii..

(AUB) = {a,b,c,d,e,f} = (u).

MUUNGANO wa seti hizi mbili unazaa SETI mpya moja (u). Ni Kazi ngumu ya kiendawazimu Kama Mwalimu atauliza akikupatia seti (u) peke yake akakwambia tafuta iliyokuwa SetiA Na SetiB, ni kitu kisichowezekana.

Labda hesabu ngumu twende Kwenye kemia, MUUNGANO ni SOLUTION.. Two soluble compound dissolve to form a single state solution. Mfano sukari na Maji, ukichanganya unapata kimiminika kipya kimoja. Ni Kazi kubwa Na ngumu kutenga tena sukari Na Maji . Wanakemia walitumia mifumo(analysis) (volumetric & qualitative) kujaribu kugundua viasili vya muungano Wa kimiminika flan wakaishia kusema labda(probably) kulikuwa na sukari kiasi flan Na Maji lakini SIO halisia.

Kwanini natumia semi hizi, kuna vitu vya UONGO tumeviamini Na kuviishi kwa miongo takriban mitano sasa Yaani from 1864. Kuna kitu kilichobatizwa Kwa Jina la Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar ikazaliwa Tanzania. Ndugu zangu watanzania, nachukua fursa hii kupiga mbiu, tutokeni usingizini. Tusitishe fikra hizi sasa, huo wa 1964 hauwezi kuitwa Muungano. TANZANIA HAKUNA MUUNGANO HILI LIWE WAZI KABISA. Tunaweza kugombana sana, tukatafutana ubaya, tukanyosheana vidole Na kuoneana ubaya bure. Tutazogoana mwanzo-mwisho, tutausema Muungano vibaya au vizuri. Tunapigana Na tusichokiona, tunashambulia hewa, kimsingi HATUNA MUUNGANO. Ni Muungano wa wapi iwapo kipande kimoja Cha Nchi Bado Kina serikali?. Sitaki kuingia Kwenye mamia ya changamoto Za kitu kinachoitwa muungano Maana HAKIPO. Tukiendelea kuamini hivi tutaumizana pasipo Sababu. Kama Muungano ungekuwepo Basi Zanzibar Leo ingekuwa mkoa tu wa Tanzania Kama ilivyo Iringa,Dodoma au Singida. Lakini sintofaham hizi zinatufanya tuabudu tusichokijua..

Mheshimiwa RAIS, mbali Na Changamoto zilizopo embu weka Jambo moja tu la Kihistoria katika UONGOZI wako, TULETEE MUUNGANO TANZANIA. Yaani Tanzania(tanganyika + Zanzibar) Na Zanzibar I mean {[Tanganyika, Zanzibar] + Zanzibar } ziwe kitu KIMOJA sasa. Tuwe Na Tanzania Moja. Hakuna Cha serikali ya mapinduzi Wala serikali ya kipinduzi. Nchi iwe moja, Jina Liwe Moja. Tuacheni Complication zaidi. Umaskini wenyewe umeshatutafuna Bado tutafunwe tena Na zigo la maserikali mengi tutapona kweli??!?. Tuacheni ujinga. Tuundeni Muungano SIO kiinimacho Kama Wazee wetu walivyotulazimisha tuamini. Sisi vijana tuna mustakabali Mkubwa Kwa Taifa letu, Young people MAY die but old one MUST die. We must Protect our people and our nation

Tuwe Taifa Moja, Serikali Moja, Bunge Moja, Jeshi Moja, Sarafu Moja.

Libarikiwe Taifa hili.

Wewe ni katika wale Sheikh Abeid Amani Karume aliosema wamesoma hawakujua, sasa ili ujue unahitaji kujifunza sio kusoma, eti na wewe unaitwa mhandishi, mwenye uvivu wa kufikiri. Tangu lini maji na mafuta yakaungana, we have different values, tutakaa pamoja tu (Tanzania = Tanzania bara + Zanzibar) lakini hatuungani kuwa nchi moja, maana kuna nchi inaitwa Zanzibar na haiwezi kufa, lakini kubwa ni kuwa tuna asili tofauti (maji na mafuta) hatuwezi kuungana, ila tunaweza kuwa pamoja, au hujui katika seti kuna seti dume? sasa chagua tukae pamoja au potea
 
Mkuu tafadhali nielimishe; ikiwa zanzibar ni nchi na haipaswi kufa, wapi tanganyika? We never had "tanzania bara" bana!!!
 
Kabla hujasema unatakiwa kutulia,kufikiri,na ndipo uchukue hatua ya kuandika!Sawa he must had been crazy,sasa wewe una akili na uko sawa,unadhani kwa mchango wako hapa unaweza kusaidia kuleta ufumbuzi wa changamoto iliyo mbele yetu kuhusu hiki kinachoitwa muungano?Tafakari!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kablavumba. unaweza kuutetea muungano katika structure yake ya sasa nikusilize?
 
Wewe ni katika wale Sheikh Abeid Amani Karume aliosema wamesoma hawakujua, sasa ili ujue unahitaji kujifunza sio kusoma, eti na wewe unaitwa mhandishi, mwenye uvivu wa kufikiri. Tangu lini maji na mafuta yakaungana, we have different values, tutakaa pamoja tu (Tanzania = Tanzania bara + Zanzibar) lakini hatuungani kuwa nchi moja, maana kuna nchi inaitwa Zanzibar na haiwezi kufa, lakini kubwa ni kuwa tuna asili tofauti (maji na mafuta) hatuwezi kuungana, ila tunaweza kuwa pamoja, au hujui katika seti kuna seti dume? sasa chagua tukae pamoja au potea

Mwerevu akiongea wajinga tunajifunza kitu, embu tufundishe Mtumbatu, yepi ni Mafuta Na Yapi ni Maji, Na kwanini unadhani haya ndio volatile chemicals as compare to others, Na kwanini unadhani Kwa umafuta huo au umajimaji huo HAIWEZEKANI KUUNGANA.. Na utusaidie kutupa darsa hiyo 1964 hadi Leo ni kitu gani kilichokuwa kinaendelea?

Frankly yawezekana kuna Siri hatuzifaham Basi tufahamisheni ombwe hili la sintofaham lipungue within ourself. Lakini kupinga tu pasipo Sababu Za msingi si ujinga tena Bali Upumbavu Na SETI ya Upumbavu na SETI ya Uchizi vina element nyingi in common.
 
Last edited by a moderator:
"Intersection" the way we call

Recall our set A and Set B,
Now (AnB) are only interested element or integers appear in common on both Set.

So that mean the Parties inters into shares of their common interest by the name of CONTRACT. vipaombele vya share hii hufanyika pakiwepo MKATABA. I have my element A and you have B element. Now some of our element of yours fall into a common interest from mine. Namnagani ya kuongoza hii ushirikiano ni Kwa Mkataba. sirghanam ukileta hiyo Mambo ya Mkataba itazuka Inshu kubwa, Kwa Sababu Hapana mkataba kabla Nchi hizi hazijawa free Sovereign states. kuijenga ZANZIBAR au Tanganyika(watever we call whether Tanzania bara mie don't care) kuwa free state itainvolve time (more than ten years) na enormous both Potential and Kinetic Energy that we couldn't handle at all.

Tuweni waungwana, tujenge Taifa Moja Tu.. TANZANIA.. Hivi nani haelewi sentensi hizi rahisi..?

MUANDISI KAMA KWELI RASIMU HII ITAPITA NA KUWA KATIBA BILA KUREKEBISHA MUUNDO WA MUUNGANO( kuendelea kuwa na muundo huu au SERIKALI MOJA... nasema hakuna miaka 5 Itaingia kwenye historia kulikuwa na nchi inaitwa tanzania iliyotokana na nchi mbili Tanganyika na Zanzibar
 
Mkuu, naomba nikukumbushe kitu. Muungano wa Tanzania unafanana na iliyokuwa Soviet Union (USSR).Kipindi kile Sovereign republics zote zilizokuwa zinaunda Soviet Union zilikuwa na viongozi wa juu na katiba zao isipokuwa Russia. Sababu ilikuwa kwamba Russia ndiye aliyekuwa mhimili ya Soviet Union. Siku Russia walipodai nao kuwa na rais wao, enzi hizo marehemu Boris Yeltsen, Rais wa Soviet Union (Mikhail Gorbachov), akawa hana nguvu japo alikuwa na mamlaka makubwa. Na ndiyo sababu ya kujiuzuru na kufa kwa USSR.Kwa mfano huu, kwa kuwa Tanganyika ni mhimili wa Tanzania, siku Tanganyika ikipata kiongozi wake mkuu, yenyewe ndiyo itakayokuwa ina-dictate kila kitu. Kiongozi wa Tanzania japo atakuwa na mamlaka makubwa lakini atakuwa hana nguvu, na ndio utakuwa mwisho wa uwepo wa nchi ya muungano inayoitwa Tanzania. Huu ni mfananisho tu wa kihistoria na si utabiri.

Mkuu usiulinganishe muungano wetu na jamhuri ya nchi za kijamaa kwani haufanani hata kidogo labda ungelinganisha na na muungano wa East Africa community ambazo kila nchi ilikua na raisi wake,muungano wa ussr ni sawa na muungano wa east africa community,muungano wetu wa nchi mbili ni wa ajabu kuonekana duniani hakuna kama huu ndo maana wanashangaa umewezaje kuwepo kwa kipindi chote hiki.
Mi naona kama kuwa na serikali moja haiwezekani ni bora kuuvunja tu maana ni mzigo kuwa na serikali tatu
 
MUANDISI KAMA KWELI RASIMU HII ITAPITA NA KUWA KATIBA BILA KUREKEBISHA MUUNDO WA MUUNGANO( kuendelea kuwa na muundo huu au SERIKALI MOJA... nasema hakuna miaka 5 Itaingia kwenye historia kulikuwa na nchi inaitwa tanzania iliyotokana na nchi mbili Tanganyika na Zanzibar
..
Mgeni kaondoka life yetu ya kawaida iendelee, mechi ziendelee, Ila kama Obama angekuja kuwalazimisha watawala wawasikilize raia wake angenifaaa sana kuliko kuleta dawa ya mbu iliyopulizwa ikadumu siku tatu tu. tuweke mjadala na Kura ya Kitaifa jkuhusu muungano. TUACHENI UTANI JAMANI.
 
Back
Top Bottom