HESABU ngumu sana Kwa Wanasiasa

  • Thread starter Eng. Y. Bihagaze
  • Start date

Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,481
Likes
37
Points
145
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined Sep 8, 2011
1,481 37 145
Tulishakubaliana

Tokea darasani Kwamba hesabu ni maisha, maisha ni hesabu. Lini ikapita siku ukaimaliza pasipo kufanya hesabu? Kama hujanunua kitu, hujahesabu fedha,watu&vitu Bado siku haijaisha. Hata Mtu ambaye hajakanyaga kitu darasa automatic anajikuta akipambana Na mazingira ya hesabu daily.. Lakini nashangaa sana watu hesabu rahisi zinawachanganya..

Neno MUUNGANO linatokana Na neno la lughaflanhivi "UNION" au "U" . Na kuna hesabu rahisi Zake za seti Za vitu au namba. Hebu ona

Ukipewa seti mbili A Na B Kwamba :-

A = {a,c,f}
B = {a,b,d,e}

Ukaulizwa swali tafuta MUUNGANO wa Seti A na Seti B, walituambiaga tunaandika (AUB) utapata kitu hii..

(AUB) = {a,b,c,d,e,f} = (u).

MUUNGANO wa seti hizi mbili unazaa SETI mpya moja (u). Ni Kazi ngumu ya kiendawazimu Kama Mwalimu atauliza akikupatia seti (u) peke yake akakwambia tafuta iliyokuwa SetiA Na SetiB, ni kitu kisichowezekana.

Labda hesabu ngumu twende Kwenye kemia, MUUNGANO ni SOLUTION.. Two soluble compound dissolve to form a single state solution. Mfano sukari na Maji, ukichanganya unapata kimiminika kipya kimoja. Ni Kazi kubwa Na ngumu kutenga tena sukari Na Maji . Wanakemia walitumia mifumo(analysis) (volumetric & qualitative) kujaribu kugundua viasili vya muungano Wa kimiminika flan wakaishia kusema labda(probably) kulikuwa na sukari kiasi flan Na Maji lakini SIO halisia.

Kwanini natumia semi hizi, kuna vitu vya UONGO tumeviamini Na kuviishi kwa miongo takriban mitano sasa Yaani from 1864. Kuna kitu kilichobatizwa Kwa Jina la Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar ikazaliwa Tanzania. Ndugu zangu watanzania, nachukua fursa hii kupiga mbiu, tutokeni usingizini. Tusitishe fikra hizi sasa, huo wa 1964 hauwezi kuitwa Muungano. TANZANIA HAKUNA MUUNGANO HILI LIWE WAZI KABISA. Tunaweza kugombana sana, tukatafutana ubaya, tukanyosheana vidole Na kuoneana ubaya bure. Tutazogoana mwanzo-mwisho, tutausema Muungano vibaya au vizuri. Tunapigana Na tusichokiona, tunashambulia hewa, kimsingi HATUNA MUUNGANO. Ni Muungano wa wapi iwapo kipande kimoja Cha Nchi Bado Kina serikali?. Sitaki kuingia Kwenye mamia ya changamoto Za kitu kinachoitwa muungano Maana HAKIPO. Tukiendelea kuamini hivi tutaumizana pasipo Sababu. Kama Muungano ungekuwepo Basi Zanzibar Leo ingekuwa mkoa tu wa Tanzania Kama ilivyo Iringa,Dodoma au Singida. Lakini sintofaham hizi zinatufanya tuabudu tusichokijua..

Mheshimiwa RAIS, mbali Na Changamoto zilizopo embu weka Jambo moja tu la Kihistoria katika UONGOZI wako, TULETEE MUUNGANO TANZANIA. Yaani Tanzania(tanganyika + Zanzibar) Na Zanzibar I mean {[Tanganyika, Zanzibar] + Zanzibar } ziwe kitu KIMOJA sasa. Tuwe Na Tanzania Moja. Hakuna Cha serikali ya mapinduzi Wala serikali ya kipinduzi. Nchi iwe moja, Jina Liwe Moja. Tuacheni Complication zaidi. Umaskini wenyewe umeshatutafuna Bado tutafunwe tena Na zigo la maserikali mengi tutapona kweli??!?. Tuacheni ujinga. Tuundeni Muungano SIO kiinimacho Kama Wazee wetu walivyotulazimisha tuamini. Sisi vijana tuna mustakabali Mkubwa Kwa Taifa letu, Young people MAY die but old one MUST die. We must Protect our people and our nation

Tuwe Taifa Moja, Serikali Moja, Bunge Moja, Jeshi Moja, Sarafu Moja.

Libarikiwe Taifa hili.
 
satellite

satellite

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
613
Likes
23
Points
35
satellite

satellite

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
613 23 35
Mkuu mi nakubaliana na ww kwa kiasi kikubwa sana huu muungano niuonavyo ni kama kiini macho tu,uwa najiuliza hd kesho sipate majibu muungano ulikua wa nchi mbili yaani Tanganyika + zanzibar=Tanzania,baada ya muungano maana yake hizi nchi zinamezwa na Tanzania ss inakuaje zanzibar iwepo na tanganyika haipo?UK ni muungano wa kingdom 3 na zote zimemezwa na muungano huu muungano wenu ni UNIQUE haupo duniani ni moja ya maajabu ya dunia.
 
Maganga Mkweli

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Messages
2,100
Likes
73
Points
145
Maganga Mkweli

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2009
2,100 73 145
Mhandisi kwenye hili usitie shaka kabisa tuko pamoja
mimi ni ndoto yangu kuwe na serikali ya TANGANYIKA ... kukiwa serikali ya TANZANIA, zanzibar lazima(hii sio hiyari ) liwe jimbo/mkoa... TUACHE KUPEANA MZIGO ISIYO NA TIJA ...
 
NDESSA

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Messages
1,893
Likes
1,574
Points
280
NDESSA

NDESSA

JF-Expert Member
Joined May 2, 2013
1,893 1,574 280
Serikali 3 ni mzigo wanasiasa wao wajali maslahi yao tu ni vipi watagawana vyeo kwisha.
 
M

mbezisa

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Messages
131
Likes
6
Points
0
M

mbezisa

Senior Member
Joined Dec 31, 2012
131 6 0
Kweli sio muungano ila twaweza kuita ushirikiano. La serikali tatu ni kuwatwisha wananchi gunia la misumari.
 
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,481
Likes
37
Points
145
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined Sep 8, 2011
1,481 37 145
Mkuu mi nakubaliana na ww kwa kiasi kikubwa sana huu muungano niuonavyo ni kama kiini macho tu,uwa najiuliza hd kesho sipate majibu muungano ulikua wa nchi mbili yaani Tanganyika + zanzibar=Tanzania,baada ya muungano maana yake hizi nchi zinamezwa na Tanzania ss inakuaje zanzibar iwepo na tanganyika haipo?UK ni muungano wa kingdom 3 na zote zimemezwa na muungano huu muungano wenu ni UNIQUE haupo duniani ni moja ya maajabu ya dunia.
Kunachoniuma

Watu wazima na akili zao wenye Uwezo wa kuleta viumbehai ulimwenguni, wamedanganywa "HUU NDIO MUUNGANO". Nao wanaamini kabisa jamani kitu hii inatisha mno, hivi hao waasisi KWANINI wametushurutisha tuanini treni ni Ndege.. Tena wamekuwa mamluki wa kulaani mtu atayetingisha kuta Za Muungano, Muungano gani.. Lazima Mtu uwe Na USO Wa Aibu unapoongopa, mkavumkavu Mtu anakomaa huu ni Muungano, upi, wapi kivipi?!???. Basi watu wameshalogwa, wanaogopa ati watapata LAANA kuongelea kisichokuwepo, laana isiyo Sababu itampigaje Mtu. Tuache ujinga, tufanye Muungano wa Nchi moja tu..

Watu wanapenda sana neno Rais, watu wanapenda sana UONGOZI, KWANINI Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda Na Burundi isiwe Nchi Moja. ?!

Ati awepo RAIS wa Zanzibar Na Tanganyika ambao hawana Jeshi, RAIS Gani asiye Na Jeshi. Mtu Nyumba yako lakini unalindwa Na walinzi wa Mtu mwingine kivipi?!??.. Ujinga mzigo kwelikweli, kufanywa mjinga ni mzigo mzito zaidi..
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
650
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 650 280
Hivi hakuna mtu hata mmoja anayeweza kutetea structure ya sasa ya muungano? Nyerere must have been crazy.
 
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
2,305
Likes
459
Points
180
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
2,305 459 180
Hivi hakuna mtu hata mmoja anayeweza kutetea structure ya sasa ya muungano? Nyerere must have been crazy.
nyerere alikuwa dikteta sana kupindukia, yaan hii ishu ya muungano imemdhalilisha sana! anasema muungano na anajua fika hakuna muungano? nimekumbuka jinsi alivyozima lile kundi la G55
 
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
2,305
Likes
459
Points
180
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
2,305 459 180
Tulishakubaliana

Tokea darasani Kwamba hesabu ni maisha, maisha ni hesabu. Lini ikapita siku ukaimaliza pasipo kufanya hesabu? Kama hujanunua kitu, hujahesabu fedha,watu&vitu Bado siku haijaisha. Hata Mtu ambaye hajakanyaga kitu darasa automatic anajikuta akipambana Na mazingira ya hesabu daily.. Lakini nashangaa sana watu hesabu rahisi zinawachanganya..

Neno MUUNGANO linatokana Na neno la lughaflanhivi "UNION" au "U" . Na kuna hesabu rahisi Zake za seti Za vitu au namba. Hebu ona

Ukipewa seti mbili A Na B Kwamba :-

A = {a,c,f}
B = {a,b,d,e}

Ukaulizwa swali tafuta MUUNGANO wa Seti A na Seti B, walituambiaga tunaandika (AUB) utapata kitu hii..

(AUB) = {a,b,c,d,e,f} = (u).

MUUNGANO wa seti hizi mbili unazaa SETI mpya moja (u). Ni Kazi ngumu ya kiendawazimu Kama Mwalimu atauliza akikupatia seti (u) peke yake akakwambia tafuta iliyokuwa SetiA Na SetiB, ni kitu kisichowezekana.

Labda hesabu ngumu twende Kwenye kemia, MUUNGANO ni SOLUTION.. Two soluble compound dissolve to form a single state solution. Mfano sukari na Maji, ukichanganya unapata kimiminika kipya kimoja. Ni Kazi kubwa Na ngumu kutenga tena sukari Na Maji . Wanakemia walitumia mifumo(analysis) (volumetric & qualitative) kujaribu kugundua viasili vya muungano Wa kimiminika flan wakaishia kusema labda(probably) kulikuwa na sukari kiasi flan Na Maji lakini SIO halisia.

Kwanini natumia semi hizi, kuna vitu vya UONGO tumeviamini Na kuviishi kwa miongo takriban mitano sasa Yaani from 1864. Kuna kitu kilichobatizwa Kwa Jina la Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar ikazaliwa Tanzania. Ndugu zangu watanzania, nachukua fursa hii kupiga mbiu, tutokeni usingizini. Tusitishe fikra hizi sasa, huo wa 1964 hauwezi kuitwa Muungano. TANZANIA HAKUNA MUUNGANO HILI LIWE WAZI KABISA. Tunaweza kugombana sana, tukatafutana ubaya, tukanyosheana vidole Na kuoneana ubaya bure. Tutazogoana mwanzo-mwisho, tutausema Muungano vibaya au vizuri. Tunapigana Na tusichokiona, tunashambulia hewa, kimsingi HATUNA MUUNGANO. Ni Muungano wa wapi iwapo kipande kimoja Cha Nchi Bado Kina serikali?. Sitaki kuingia Kwenye mamia ya changamoto Za kitu kinachoitwa muungano Maana HAKIPO. Tukiendelea kuamini hivi tutaumizana pasipo Sababu. Kama Muungano ungekuwepo Basi Zanzibar Leo ingekuwa mkoa tu wa Tanzania Kama ilivyo Iringa,Dodoma au Singida. Lakini sintofaham hizi zinatufanya tuabudu tusichokijua..

Mheshimiwa RAIS, mbali Na Changamoto zilizopo embu weka Jambo moja tu la Kihistoria katika UONGOZI wako, TULETEE MUUNGANO TANZANIA. Yaani Tanzania(tanganyika + Zanzibar) Na Zanzibar I mean {[Tanganyika, Zanzibar] + Zanzibar } ziwe kitu KIMOJA sasa. Tuwe Na Tanzania Moja. Hakuna Cha serikali ya mapinduzi Wala serikali ya kipinduzi. Nchi iwe moja, Jina Liwe Moja. Tuacheni Complication zaidi. Umaskini wenyewe umeshatutafuna Bado tutafunwe tena Na zigo la maserikali mengi tutapona kweli??!?. Tuacheni ujinga. Tuundeni Muungano SIO kiinimacho Kama Wazee wetu walivyotulazimisha tuamini. Sisi vijana tuna mustakabali Mkubwa Kwa Taifa letu, Young people MAY die but old one MUST die. We must Protect our people and our nation

Tuwe Taifa Moja, Serikali Moja, Bunge Moja, Jeshi Moja, Sarafu Moja.

Libarikiwe Taifa hili.
aibu ya nyerere na wananchi wake!
 
F

firehim

Member
Joined
Oct 10, 2011
Messages
94
Likes
0
Points
0
F

firehim

Member
Joined Oct 10, 2011
94 0 0
Suluhu hapa ni moja tu Vunja Zanzibar jenga Jamhuri ya muungano. Hawataki vunja Muungano kila nchi isepe kivyake tuanze moja.
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
392
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 392 180
Na ugonjwa wa uroho wa madaraka umetibiwa lini?
 
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,481
Likes
37
Points
145
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined Sep 8, 2011
1,481 37 145
Suluhu hapa ni moja tu Vunja Zanzibar jenga Jamhuri ya muungano. Hawataki vunja Muungano kila nchi isepe kivyake tuanze moja.
Ni ukweli usiopingika.. Embu Mtu apinge tuone.. Kama tunu ya Zanzibar Na Raia wake hawataki Haya maigizo KWANINI kuwang'ang'anizia? Waachieni Nchi Yao, wafanye madudedude wanayoyataka wenyewe, Hata wakiamua kukatana mapanga ni nchi Yao Kwa raha Na taabu zao.. Mie nashangaa mno, ati weye wajua sana matatizo ya nyumba ya jirani yako, utake kumpangia kila kitu, Leo vaeni hivi kesho vile, wakati wanapigana na mwarabu tulikuwepo? Wanakatana mapanga Kwenye mapinduzi ya kisiwa sisi tulikuwepo?.

Sasa kiherehere Cha kalazimishiana Muungano kituko huu kinatokea wapi? Tunataka taifa Na wataifa wa Tanganyika Na Zanzibar, Kwa hiari Na mioyo myeupe turidhiane wenyewe , tuwe Na taifa Moja Na ikishindikana Basi kila Mtu abaki Na chake maneno hii Ina ugumu gani weshimiwa..!
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,207
Likes
386
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,207 386 180
Hivi hakuna mtu hata mmoja anayeweza kutetea structure ya sasa ya muungano? Nyerere must have been crazy.
Nyerere angekuwa crazy tusingekuwa na hata huu Muungano tulio nao! Tatizo la Waafrika wa sasa hatuoni umbali zaidi ya pua zetu!
Wakati Mataifa Makubwa yanaungana sisi tunagawanyika kidini, kikabila, kikanda, nk! Hili Nyerere aliliona na kulisisitiza sana ila sikio la kufa halisikii dawa! We don't know for sure what we really want for future of our nation!

Utashangaa mtu mzima anadai kuwa anataka Jina Tanganyika wala si Tanzania Bara, ukimuuliza hilo Jina litatuondoleaje ufisadi, umaskini, Form 4 kufeli kwa kasi mpya, nk hana majibu! Yeye anachodai tu ni TANGANYIKA, BASI!
Kweli safari ndefu tunayo!!
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,207
Likes
386
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,207 386 180
nyerere alikuwa dikteta sana kupindukia, yaan hii ishu ya muungano imemdhalilisha sana! anasema muungano na anajua fika hakuna muungano? nimekumbuka jinsi alivyozima lile kundi la G55
Afadhali dikteta mzalendo kuliko aliye na demokrasia lakini mwizi!
 
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,372
Likes
2,442
Points
280
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,372 2,442 280
Hivi hakuna mtu hata mmoja anayeweza kutetea structure ya sasa ya muungano? Nyerere must have been crazy.
Kabla hujasema unatakiwa kutulia,kufikiri,na ndipo uchukue hatua ya kuandika!Sawa he must had been crazy,sasa wewe una akili na uko sawa,unadhani kwa mchango wako hapa unaweza kusaidia kuleta ufumbuzi wa changamoto iliyo mbele yetu kuhusu hiki kinachoitwa muungano?Tafakari!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,432
Likes
1,742
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,432 1,742 280
Umenikumbusha empty set! Tanganyika ni empty set! Kwenye Chemistry nadhani ni Immiscible, fragile, heterogenous & explosive
 
S

sirghanam

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
287
Likes
0
Points
33
S

sirghanam

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
287 0 33
KUMBUKA KWENYE SETI KUNA MUUNGANO(union) NA UNGANO(intersection) Inawezekana sasa tunazungumzia UNGANO
 
Y

yaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
694
Likes
3
Points
0
Y

yaya

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
694 3 0
Mkuu mi nakubaliana na ww kwa kiasi kikubwa sana huu muungano niuonavyo ni kama kiini macho tu,uwa najiuliza hd kesho sipate majibu muungano ulikua wa nchi mbili yaani Tanganyika + zanzibar=Tanzania,baada ya muungano maana yake hizi nchi zinamezwa na Tanzania ss inakuaje zanzibar iwepo na tanganyika haipo?UK ni muungano wa kingdom 3 na zote zimemezwa na muungano huu muungano wenu ni UNIQUE haupo duniani ni moja ya maajabu ya dunia.
Mkuu, naomba nikukumbushe kitu. Muungano wa Tanzania unafanana na iliyokuwa Soviet Union (USSR).Kipindi kile Sovereign republics zote zilizokuwa zinaunda Soviet Union zilikuwa na viongozi wa juu na katiba zao isipokuwa Russia. Sababu ilikuwa kwamba Russia ndiye aliyekuwa mhimili ya Soviet Union. Siku Russia walipodai nao kuwa na rais wao, enzi hizo marehemu Boris Yeltsen, Rais wa Soviet Union (Mikhail Gorbachov), akawa hana nguvu japo alikuwa na mamlaka makubwa. Na ndiyo sababu ya kujiuzuru na kufa kwa USSR.Kwa mfano huu, kwa kuwa Tanganyika ni mhimili wa Tanzania, siku Tanganyika ikipata kiongozi wake mkuu, yenyewe ndiyo itakayokuwa ina-dictate kila kitu. Kiongozi wa Tanzania japo atakuwa na mamlaka makubwa lakini atakuwa hana nguvu, na ndio utakuwa mwisho wa uwepo wa nchi ya muungano inayoitwa Tanzania. Huu ni mfananisho tu wa kihistoria na si utabiri.
 
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,481
Likes
37
Points
145
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined Sep 8, 2011
1,481 37 145
KUMBUKA KWENYE SETI KUNA MUUNGANO(union) NA UNGANO(intersection) Inawezekana sasa tunazungumzia UNGANO
"Intersection" the way we call

Recall our set A and Set B,
Now (AnB) are only interested element or integers appear in common on both Set.

So that mean the Parties inters into shares of their common interest by the name of CONTRACT. vipaombele vya share hii hufanyika pakiwepo MKATABA. I have my element A and you have B element. Now some of our element of yours fall into a common interest from mine. Namnagani ya kuongoza hii ushirikiano ni Kwa Mkataba. sirghanam ukileta hiyo Mambo ya Mkataba itazuka Inshu kubwa, Kwa Sababu Hapana mkataba kabla Nchi hizi hazijawa free Sovereign states. kuijenga ZANZIBAR au Tanganyika(watever we call whether Tanzania bara mie don't care) kuwa free state itainvolve time (more than ten years) na enormous both Potential and Kinetic Energy that we couldn't handle at all.

Tuweni waungwana, tujenge Taifa Moja Tu.. TANZANIA.. Hivi nani haelewi sentensi hizi rahisi..?
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,060